biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. To yeye

    Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

    1. Daudi pamoja na kudharaulika umbile lake lakini alimuua Goliath 2. Petro pamoja na kuaminiwa kote lakini aliweza kumkana yesu Mara tatu 3. Yusuph pamoja na kukataliwa na nduguze lakini akageuka kuwa nguzo kuu 4. Yusuph pamoja na ugwadu wa kitambo kirefu lakini aligoma offer ya game kutoka...
  2. GENTAMYCINE

    Mshambuliaji wa KMC FC Mateo Antony, wewe ni 'Mnafiki' na zaidi ya 'Yuda Iskarioti' katika Biblia

    Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary. Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya...
  3. BAKIIF Islamic

    Hawa ndio Warembo waliouawa kwa kutembea uchi huko Iran

    Biblia na Qur'an ziko pamoja na nchi ya Iran, unaweza usitamani kutembea uchi lakini ukawatetea wanaotembea uchi. Kufurahia mwanamke kutembea uchi elewa umefurahia mama wa mtu kuwa uchi. Naanza kwa kumnukuu mwana JF Donatila aliwahi kuandika humu ''Kama mjuavyo utandawazi umezidi kukua...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Anaandika, Robert Heriel Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha. Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
  5. NetMaster

    Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

    Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo. Usijidanganye kizazi hiki kwamba mke mwema anashushwa na Bwana, mwanamke unaweza kumchunguza mwaka mzima mkiwa kwenye uchumba na...
  6. medisonmuta

    Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

    Msishangae wakristo asilimia ya wengi humu kumtukana Mungu, kwani mtume wao Paulo alishawafundisha zamani. Kitu chochote chenye upumbavu maana yake hakina hekima ndani yake. Sifa ya udhaifu hawezi kuwa nayo Mungu bali viumbe wake. Msiwashangae wanavyotoa povu kwani kitabu chao kimewafundisha...
  7. Joao de Matos

    Je, katika Biblia Takatifu kuna kifungu kinachoelezea ulazima wa Bibi Harusi kuvaa shela?

    Za ijumaa wana JF, Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni. Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa. Katika Biblia tunaona mfano mmoja Rebeka alivaa shela alipo kutana na Isaka. Ila sijapata fungu lililosema Ni agizo...
  8. Lycaon pictus

    Watoza ushuru wa enzi za Biblia

    Kuna sehemu Yohana aliwahubiria watoza ushuru. Walimuuliza. "Sisi ni watoza ushuru. Unatushauri tufanye nini?" Yohana aliwajibu, "Msitoze zaidi ya kiasi kilichowekwa." Zamani kulikuwa kuna kitu kinaitwa tax farms(mashamba ya kodi). Tajiri anaifuata serikali ya Roma na kuomba tenda ya kukusanya...
  9. FRANCIS DA DON

    Je, waandishi wa Biblia hawakuona aibu kufanya ‘Plagiarism’ ya wazi wazi kwenye ‘Vibao vya Sumeria’ na kufanya editing bila aibu kabisa?

    Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na wajanja wachache (hasa Warumi) katika kukamata na kupumbaza akili raia katika himaya zao, hii...
  10. P

    Mama SSH yuko madarakani kwa mpango wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Ester wa Biblia.

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na usawa tofauti na mtangulizi wake. Wote tunatambua kuwa mtangulizi wake (mwendazake) alikuwa...
  11. T

    Kwa wajuvi wa Biblia, ni kweli Mfalme Daudi alipata UKIMWI kutokana na kupenda wanawake ovyo?

    Hongereni na majukumu wanajukwaa. Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu UKIMWI. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo...
  12. mitale na midimu

    Mambo ambayo Biblia inaweza kukusaidia hata kama hutaki kwenda Mbinguni

    1: UTAWALA: Watawala waliotawala dunia zamani walitumia maandiko ya Mungu wa kiebrania kama miongoni mwa machapisho yao. 2: Ndoa. Kanuni za ndoa zinazosisitizwa katika biblia zitakufanya ufurahie ndoa hadi mwisho wako. Mke mtii Mume, mume mpende mke. 3: Muda. Tabia ya kujali Muda inayoleta...
  13. Mawematatu

    Vitabu 14 viliondolewa kwenye biblia, Vatican imeficha nini, ilikusudia Dunia isijie nini?

    Niende kwenye hoja. Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books". Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa...
  14. mitale na midimu

    Fanya hivi kuondoa Nuksi/Mikosi kwa kutumia Biblia

    Nuksi ni neno la Kiarabu lenye maana ya machafuko, maharibiko, mivurugano katika maisha. Ni hali inayomfanya MTU kuwa na ugumu katika kutenda mambo yake. Hii unaweza kusababishwa na mambo kadhaa. 1: Ukosefu wa Maarifa sahihi. 2: Kulogwa,laana au majini. 3: Mitihani ya mwenyezi Mungu ili...
  15. BAKIIF Islamic

    Orodha ya Mistari iliyo nichanganya kwenye Biblia takatifu kuhusu Ubatizo

    Msaada, Kwanza kabisa, mimi ni muumini wa dini ya Kiisilamu, lakini naisoma Biblia hatua kwa hatu, Mistari ifuatayo imenichanganya sana kunako swala la Ubatizo. Inaaminika kwamba kila mtu huzaliwa akiwa ni muislamu hadi pale atapobatizwa ndio atakuwa Mkristo safi. Sasa ubatizaji nimeokutana...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je Biblia inapoongelea MVINYO na DIVAI inamaanisha nini? Je DIVAI na MVINYO vinaeitwaje kwa Kingereza?

    Muujiza wa kwanza alioufanya Yesu ulikuwa ni kubadili maji kuwa divai. Yesu alikuwa anagonga maji mazuri, ndio maana mara kadhaa kuwa walimwita mlevi, lakini walokole wanabisha wanasema eti Yesu alitengeneza juice. Sasa nataka waje wasome hapa Luka 7:31-50 BHN Yesu akaendelea kusema, “Basi...
  17. Lycaon pictus

    Kulingana na biblia, malaika ni viumbe wa kutisha sana.

    Pengine ndiyo maana walipokuwa wakiwatokea binadamu walikuwa wakisema, "Usiogope." Soma Ezekieli Sura ya 1.
  18. F

    Maneno ya Biblia Yaliyowavuruga Wanafalsafa Niccolo Machiavelli na Karl Marx

    Mathayo 5:5. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi. Niccolo Machiavelli, a statesman of the 16th century; he was a philosopher who was contaminated just by trying the flavour of politics. He invented his model which outlined ruthless strategies of seizing power like this:- Never show...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu. Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo. Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu. Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi...
  20. Jackwillpower

    Biblia, kitabu cha ajabu maishani mwangu

    “Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake.” Isa. 42:8,9. “Kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana...
Back
Top Bottom