bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama wewe ni mfanyabiashara kuwa makini na wale jamaa wanaokuja na kujitambulisha kuwa ni mawakala wa kampuni fulani na wanasambaza bidhaa

    Utapeli mwingine na namna hii. Either anakuwa tapeli ahusiki na kampuni hio au ni winga wa kukusanyia bidhaa ila anajitambulisha kuwa ni wa kampuni husika. Unakuta hadi bizness cards wameandaa either ikiwa na jina ya kampuni maarufu au kampuni feki alioitunga. Then anakuambia tumepita...
  2. X

    China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  3. Wafanyabiashara wekeni bei za bidhaa na huduma zenu kwenye matangazo yenu ya biashara

    Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ambapo wanatangaza bidhaa na huduma zao, lakini hawaweki wazi kuhusu...
  4. Biashara za Mo ngumu mpaka ameamua kuwa wakala wa bidhaa za wenzake sasa

    Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa.... 1. Boxer, bajaji 2. Betri 3. Nyembe za Dorcco. Kinachosikitisha zaidi huenda uwakilishi wake kwenye bidhaa hizo pia ukawa mgumu, kama ubora utabadilishwa. My take. mo ajiri...
  5. Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi bidhaa za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.

    Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha. Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike. Kiwanda cha nguo zisizochuja kabisa? Huo uwezo wanao ila hawawezi kufanya hivyo...! Kwanini? Mwaka jana nilikutana na jamaa...
  6. Nipe A to Z ya Process za ku export bidhaa au malighafi nje ya nchi

    Wataalaam
  7. Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

    Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
  8. X

    China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

    China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!) China imposes retaliatory tariffs on...
  9. Expiration date za bidhaa

    Wakuu niaje. Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire. Ulitumia kitu gani? Ulichukua hatua gani baada kujua? Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
  10. Wanawake wakifika sokoni wanauliza gharama ya bidhaa zote ndio maana wanachelewa

    Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa. "Hili dela ni bei gani?" "Hivi viatu ni bei gani?" "Hili gauni ni bei gani?" "Hii skirt ni bei gani?" "Hili sofa ni bei gani?" "Hii TV na Subwoofer ni bei...
  11. Kanuni mbili za kwenda sokoni kununua bidhaa

    Kuna watu wakienda sokoni wanajikuta wananunua bidhaa nyingine (nyingi) ambazo hawakupanga kununua, hayo ni matumizi mabaya ya pesa. Zifuatazo ni kanuni kuu mbili za kwenda kununua bidhaa sokoni. (1). IFAHAMU VIZURI BIDHAA UNAYOKWENDA KUNUNUA SOKONI: Usiende sokoni kichwa kichwa, utapigwa...
  12. T

    Mwanamke ni kama bidhaa, mkague mwili wake kabla ya kumuoa

    Binti ni kama bidhaa sokoni inatakiwa umkague mwili wake wote kabla hujamuoa, Kuna mtu humu jamii forums alikuja kulalamika , kuwa amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka mwilini mwake imeandikwa I 💕 love you John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke...
  13. M

    Bidhaa zilizo expire zipo Mtaani, imenitokea hii nikiwa Salasala Kwa Mtenga, Dar, najiuliza hata wakibaini wanazipeleka wapi?

    Mamlaka zinazohusika na ubora wa bidhaa nadhani mnajisahau sana, mitaani kuna bidhaa nyingi ambazo kama hazija-expire, basi hazina expire date kabisa au expire date yake haionekani vizuri. Hii ni hatari sana jamani, ni vile baadhi ya Watanzania tuna shida ya kutosoma ukomo wa bidhaa kwenye...
  14. Tunajuaje kama bidhaa ya uchambuzi wa intelenjesia ni nzuri?

    Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa na changamoto za kiusalama, matumizi ya intelenjesia yamekuwa msingi wa maamuzi sahihi katika sekta mbalimbali, zikiwemo usalama wa taifa, biashara, na teknolojia. Hata hivyo, si kila bidhaa ya uchambuzi wa intelenjesia ni yenye manufaa au sahihi kwa...
  15. M

    Naomba kujuzwa namna ya kulipia bidhaa nje ya nchi na maana ya ZIP code

    Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress. Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
  16. Eneo kwa ajili ya uzalishaji bidhaa.

    Habari za usiku huu wadau/wanajamii forum. Kwa ufupi tu, kwa wale/Yule ambaye yuko tayari kuwekeza kwenye sector ya uzalishaji(maji, juice, pombe, unga au product yoyote inayohusu chakula). Karibu Kilimanjaro, kuna eneo tayari Lina jengo kubwa( limekamilika kabisa), kuna mashine ya kuchuja...
  17. Fanya hivi kukuza mauzo ya bidhaa zako na kujisogeza zaidi kwenye mafanikio mwaka 2025

    ✓✓2025 MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA. ∆ Huu ni mwaka wako wa mafanikio sasa usichelewe fanya haya yafuatayo ili uweze kufika malengo yako mapema ~Tangaza biashara yako kwa namna nyingine kabisa ambayo itakufanya kuwafikia wateja wapya kila siku ~Tengeneza matangazo ya sauti na picha wateja...
  18. Kwanini Congo haiwapigii kelele Waarabu na Wachina waache kununua madini kutoka Rwanda?

    Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko! Kwa nini Congo isiwabane UAE...
  19. D

    Fursa ya kushirikiana katika kutafuta Masoko ya Bidhaa zako

    Je, wewe ni mzalishaji wa bidhaa au unamiliki duka la jumla na unatafuta njia bora ya kuongeza wateja wa uhakika kwa bidhaa zako? Ninakuleta suluhisho thabiti! Ninajitokeza kama wakala wa masoko na dalali wa bidhaa, nikiwa na nia ya dhati ya kukusaidia kufanikisha malengo yako ya biashara. Nina...
  20. Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…