Unapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa biashara, zipo changamoto kadhaa ambazo lazima
utakutana nazo katika harakati za utafutaji. Changamoto kubwa zaidi ni kujua wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya jumla ili uweze kuuza kwa jumla na rejareja.
Najua, ndugu msomaji wa kitabu
hiki, pengine hata wewe...
Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k,
Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie.
Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo
nikitoa gharama...
Hapa nazungumzia kilimo biashara, sio kilimo cha kutegemea mvua, ukimwambia mtu nataka niende nikalime kati ya watu 10, 9 watakukatisha tamaa, juu ya hasara waliowahi kuzipata kwenye kilimo, lakini hawatuambii walichokosea mpaka wakapata hasara kwenye kilimo, sasahivi mahindi gunia ni 90,000/...
Dar es Salaam,
Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai.
Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Biashara ya China kwa kushirikiana na Shirika la Biashara Duniani (WTO), ni maonesho makubwa zaidi ya...
Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke)
Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe
Matone ya mkojo hudondokea
Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao)
Kwa wanawake zina zinagusa Period
Chupi ni nguo ya kwanza kupokea hewa chafu
Bora uende dukan ununue chupi / boxer za bei chee kuliko original...
Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu wanayotoa ni ya uongo.
Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe...
Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya!
NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
Habarini Wakuu,
Nimekuja na tangazo langu fupi hapa, Nimefungua group la WhatsApp ambalo ni kwaajili ya wateja wangu ambao nitakuwa nachapisha picha na bei za bidhaa mbalimbali za mapamboo ya majumbani kwa. Bei nafuu sana (I mean nafuu sana) hii inaweza kuwa fursa pia kwa wengine watakaohitaji...
Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.
China ndipo vilipo...
Habari Wapambanaji wote.
Naitwa Derick Mtimba ni afisa mauzo wa Shacman Tanzania. Ninayo furaha kuwajulisha kuwa kampuni yetu inatoa aina mbalimbali za magari ya mizigo na ujenzi, yakiwemo:
Tractor Head
Tipper za ujazo tofauti
Water Tanker
Crane Truck
Oil Tanker
Mining Truck
Refrigerator...
Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru.
Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ??
Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa.
Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata ya Nsalaga.
Hawa watumishi wamekuwa siyo waadirifu kabisa katika majukumu Yao,wanakoelekea watakuja...
Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏.
Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
Mala kwa mala huwa naagiza bidhaa kupitia aliexpress na kupokea mzigo kupitia posta kwa sasa nataka kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo ni mdogo tu ambao nitatumia agent kama silent ocean n.k ila kunakitu kinanitatiza je kwa huku mkoani nitaupokelea wapi bila ya mimi kufika dar, na je hawa...
Kwenye dunia ya sasa, watu wanatumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii. Kutoka Instagram, TikTok, hadi Twitter, mitandao imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Lakini siyo tu sehemu ya kuburudika au kuwasiliana na marafiki. Mitandao ya kijamii ni biashara kubwa, na kama...
1. Smartphones na mobile ndogondogo nzuri zenye mvuto mfano nokia Og au vile vidogo kbs.pia kuna protector na cover za simu
2. Flashes na memory card..sio nzito hivyo zinabebeka kiurahisi hauhitaji kufungua duka hizi unatembea nazo kwenye minada au unategemea msimu wa mavuno vijijini huko.tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.