Naomba kuuliza nikihitaji package ya namna hiyo kwa ajili ya bidhaa mbalimbali je nitapata vipi naombeni wadau mnisaidie nijue namna ya kupata package za bidhaa zangu.
1. Simu - Ni biashara iliyoshamiri sana kwenye vitu used lakini wengi zimewingiza kwenye matatizo, mtu kanunua simu laki 4 au zaidi haoni shida kutoa elf 50 polisi waifatilie, yani ukinunua simu iliyoibiwa ukipachika tu laini yako tayari ushadakwa kwa taarifa zako ulizosajilia laini na makadirio...
Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo wafanyabiashara wamekubaliana na serikali ziwe na bei elekezi. Hizo bidhaa ni zipi na serikali wamekubaliana...
Naweza kusema kwamba, tunahatua kubwa sana kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya! Kodi na ama ongezeko lolote la kikodi litokanazo na bidhaa, humlenga moja kwa moja mlaji na siyo mfanya biashara!
Kwa upande mwingine, maandamano ya majirani zetu, ni sahihi na siyo haya ya wafanyabiashara wa...
Mfumo wa soko la ndani wa mazao na bidhaa za kilimo (na uvuvi) kwa kiasi kikubwa unaendeleza dhulma na unyonyaji kwa wazalishaji mali hizo. Ijapokuwa zipo jitihada za serikali zenye kukusudia kuleta ustawi wa sekta ya kilimo na uvuvi nchini, pia hapana budi hatua za haraka kuchukuliwa za...
Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika.
Wakati hayo...
UTANGULIZI.
Licha ya selikari kufanya jitihada kubwa katika huduma za afya, ikiwemo majengo ya kutolea huduma za afya na wataalamu mbalimbali. Bado Kuna changamoto katika upatikanaji wa bidhaa za afya hasa bidhaa za dawa.
Wizara ya afya kupitia bohari ya dawa (MSD) imekuwa ikipeleka dawa...
Habari za mda huu!
Samahani naomba kujua taratibu zipi natakiwa kufuata kama nineuziwa bidhaa iliyokwisha muda wake.
Nilimtuma mdada wa kazi blue band asubuhi nikaondoka kabla hajarudi. Nimerudi nimekuta kawapa watoto blue band iliyoexpiry toka dukani. Naomba kujua taratibu gani natakiwa...
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data.
Tuachane na iPhone...
Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambayo watu huzalisha tumbaku, wengi wameamini kuwa ukuaji wao kiuchumi...
MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka serikali kutotumia mamilioni ya fedha kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na badala yake wanunue bidhaa hizo kutoka kwenye vowanda vya hapa nchini.
Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia kwenye bajeti ya wizara ya viwanda na...
Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa.
Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
Hello....
Habari za muda huu.
Je, huyu ni wewe?
Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano.
1. Washindani wako katika soko.
2. Kipato cha wateja wako.
3. Mazingira ya soko.
Ila leo nitazungumza...
Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja
Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa muda mrefu chap nikaitoa mfukoni nikafungua message nikakutana na namba mpya code +27 nilijua tu hii...
China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo...
Kujibu kile kinachojulikana kama "uzalishaji kupita kiasi wa China" ambacho kimechochewa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi, Bw. Ayodeji Dawodu, ambaye anafanya kazi na kushughulikia mambo ya Afrika katika benki ya uwekezaji ya BancTrust yenye makao yake makuu mjini London alisema...
Habari za Wakati huu.
Je Wewe ni Mjasiriamali Mdogo ambaye Unazalisha na Kufungasha Bidhaa za Aina Mbalimbali?
Masoko International Company kwa kushirikiana na Wadau wetu mbalimbali tunakuletea huduma ya Kuchapisha Bar Code Sticker na Label kwa ajili ya Bidhaa zako.
Huduma hii itakuwezesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.