Mada hii imeshajadiliwa na wenzetu kabla. Hata hivyo kutokana na umuhimu wake ni muhimu kuijadili katika vipembe vingine kuzidi kuifahamu
Microsoft wameshatangaza kuwa toleo la windows 10 liliopo sasa litafikia ukomo ifikapo oktoba 2025.Watumiaji wake wataachwa kujikongoja na toleo hilo na...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano,
Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China.
Naomba mnijuze ni bidhaa gani zinatoka haraka sana ambazo sio za bei kubwa, yaani m Tanzania wa kawaida...
Habari,
Nchi ya uturuki imekuwa miongoni mwa nchi ambazo Watanzania wengi wamejivunia utajiri kutokana na kuagiza bidhaa mbalimbali kupeleka Tanzania.
Katika kipindi cha miaka ya Karibuni miongoni mwa bidhaa zinazoongoza kuchukuliwa kutoka uturuki ni bidhaa za umeme vyenye thamani ya shilingi...
Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika.
Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya.
Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona...
Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili.
Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako...
Uongozi wa Wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo ‘Machinga’ (KAWASO) umekuwa ukifanya mambo ya uonevu na unyanyasaji kwa Machinga wa Kariakoo kila kukicha tena mchana kweupe!
We are not sure Serikali wanayajua haya au lah and they are un touchable sijui nguvu wanaitoa wapi?
Walianzisha program ya...
Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe.
Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina.
Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
Kwa muda sasa kumekuwa na huu utaratibu ambapo mtu akinunua bidhaa Zanzibar akifika Tanganyika anatozwa tena ushuru (nyongeza) tofauti na ule ushuru wa awali aliolipa wakati wa kununua
Kwa mtazamo wangu; Utaratibu uliopo kwa sasa, haunufaishi upande wowote;
Zanzibar ndio wana adhirika zaidi...
Wanazengo mnaendeleaje?
Wenye kumbukumbu wanakumbuka video tofauti ambazo ziliwaonesha baadhi ya wanawake wakichezea chupa za soda mfano mirinda kwa ustadi wa hali ya juu kitu ambacho kiliwastaajabisha watu na kuanza kuitaja soda fulani kama matani au mzaha
Japo siyo jambo geni ila miaka...
Habari za asubuh ndugu wana jf.
Leo nimekuja kutoa mikasa miwili mitatu jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa pale tunapoagiza bidhaa toka huko dar es laam.
KISA CHA KWANZA niliwah ona page 1 ya facebook & instagram ambayo inapost nguo nzuri sana za dukani hasa mashati, kwakua nilipenda...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kama kuna watanzania ambao wanajiona wameyapatia maisha kuliko watanzania wote,basi ni hao wanaofuata bidhaa hapo China!.
Aisee,asikwambie mtu jamaa wanajiona wako matawi kinoma!.
Bidhaa zenyewe mnaleta feki na kama ni nguo basi ni midosho ya kufa...
Habari ya muda huu wakuu, naimani tuko wazima.
Karibuni sana NGC inapatikana uwanja wa ndege/Kipawa barabara ya karakata karibu na hotel ya New FQ hotel. S L P 70478 DSM
Email : info@nairagroup.co.tz
Website: www.nairagroup.co.tz
Tunauza bidhaa MBALIMBALI na huduma, kama ifuatavyo
1. Nguo za...
Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana..
Miongoni mwa vifaa...
Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi.
Hadi nafungua duka lingine...
Naombeni msaada Kwa wenye uzoefu katika jambo hili.Nilikuwa nahitaji kuagiza ngano na mafuta ya kula Moja Kwa Moja kutoka kiwandani.Hivyo naomba kujua utaratibu wake upoje,wanaanzia pcs ngapi minimum,namna ya kuweka order na utofauti wa Bei maybe ukilinganisha na ya wholesalers Huwa inarange...
Wadau nataka kununua kifaa cha umeme online china,chenye thamani kama laki mbili,ni supplier yupi ni wa uhakika,na je anasafirisha mpaka tz,msaada please,kifaa kinaitwa INSULATION RESISTANCE TESTER(MEGGER).
Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
Najaribu kufanya research ya kuangalia kati ya Aliexpress, Kikuu au Alibaba App ambayo ina uhakika na wanaweza kuniletea bidhaa kwa jina ninalotaka mimi.
Naomba msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.