NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI.
HUDUMA ZA ZIADA
📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta.
📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya ikiwemo dawa kutoka zaidi ya asilimia 80 hadi chini ya asilimia 50 ifikapo mwaka 2030.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo kwenye hafla fupi iliyofanyika Hoteli ya Johari Rotana na kuwakutanisha Wadau pamoja...
Jina langu naitwa DON YRN. Mwaka 2012 nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne katika mkoa mmoja wapo ndani ya nchi yetu. Matokeo ya mtihani hayakuweza kufikia kiwango cha mimi kuingia kidato cha tano hivyo kulingana na shinikizo na ushauri mbalimbali wa wazazi, ndugu na jamaa niliamua kuangalia...
Habari za Wakati Huu?
BIASHARA YAKO INAHANGAIKA KUTAFUTA WATEJA?
Je wewe ni mtoa huduma,muagizaji au mzalishaji wa bidhaa zenye Ubora.Je unahitaji kufikia Soko Kubwa kwa Gharama Nafuu?Je unahitaji Timu ya Masoko ambayo imejizatiti kwa ajili ya kuhakikisha bidhaa yako inafika sokoni kwa wakati na...
MAKUBALIANO BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA JIMBO LA SHANDONG LA CHINA KUIFANYA UBUNGO KUWA SOKO LA KIMATAIFA
Serikali kupitia makubaliano ya Memorandum of Understanding almaarufu MoU na jimbo la China la Shandong sasa kugeuza eneo la Ubungo kuwa soko la bidhaa toka jimbo hilo la nchini...
Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Changsha mkoani Hunan, bidhaa nyingi kutoka Afrika zilioneshwa na kuvutia wateja wengi wa China. Licha ya kuwa waonyesha bidhaa hizo walipata wateja wengi na kuuza bidhaa zao, moja ya...
Hivi kwa mfano
Naomba nisaidiwe kusoma hiyo expire date hapo kwenye picha
Na bidhaa za aina hii zipo nyingi yani expired date haieleweki kabisa utakuta imeandikwa ila huwezi kuielewa kabisa
Ni nini tatizo mbona bidhaa za nchi zingine zinasomeka vizuri kabisa tarehe ya kuzalishwa na mwisho...
Na haya yote ni madhara ya kuruhusu uwekezaji wa wachina kiholela holela , kuna viwanda bubu vingi sana vina zalisha bidhaa bandia hapa dar es salaam na vingi ni vya wachina TBS wapo TFDA wapo ,
Wao wanakaa maofisini kusubiri mtu awape mchongo ndio wajifanye kuita waandishi kujifanya wapo...
Sheria za ununuzi wa bidhaa na huduma za serikali zimekuwa na athari kubwa katika kuchochea uwajibikaji na utawala bora nchini Tanzania. Kabla ya Sheria ya Ununuzi ya Umma (2004) na Sheria ya Manunuzi ya Bidhaa na Huduma za Kampuni za Umma (2017), palikuwa na ukosefu wa uwazi na uwajibikaji wa...
Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M -5M...
Bidhaa za thamani hii kwa mkoa wa Dar es Salaam zinauzika kwa kasi ya chini sana na...
Wanakijiji wa JamiiForums mimi nipo Dar saivi ninafikiria jambo fulani la kujikwamua kiuchumi ila hii kidogo naipigia mahesabu kitofauti nataka ninunue ka-ist au bajaji then ukiachilia mbali sijui kusafirisha watu sijui uber au bolt nataka hicho chombo nitakachonunua kiwe ndio duka lenyewe...
Salamu,
Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni?
Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/
Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
Wote tunafahamu bidhaa za bandia zimetengenezwa kwa uhodari wa kuiga bidhaa halisi hasa kimuonekano ili zifanane na bidhaa halisi, lakini kwenye matumizi, bidhaa bandia hujitofautisha kwani huwa ni below standards na hapa ndio huwa tunagundua kuwa bidhaa fulani ni fake na zaidi huwa hazidumu...
Za jumapili wanaJF,
Leo naomba nitumie jukwaa hili adhimu kuelezea niliyokuwa nimeyaona kwenye makunbusho yetu ya Taifa nilipotembelea hapi wiki mbili zilizopita. Nimewahi kutembelea pia miaka ya nyuma.
Nakiri makumbusho ni sehemu muhimu ya kujifunza Kwa hiyo inabidi kuwepo na vitu vya kutosha...
Hello hello,
Tusaidiane kujibu hilo swali tafadhari nimewiwa kujua sababu au umakusudi nyuma ya pazia na. Je, hayo maneno ya onyo hujumuishwa kwenye matangazo ya hizo bidhaa kabla ya kumfikia mteja?
Nawasilisha.
Shukrani kwa mwitikio wako.
Wadiz.
Benki yaDunia imesema uwezo wa kununua wa kaya za chini utaathiriwa vibaya na mapendekezo ya hatua za mpya za ushuru katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa 2023
WB imesema kuna uwezekano mkubwa suala hilo likaongeza shinikizo la sasa la mfumuko wa bei kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa za...
Wananchi wengi watakuwa wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake kwa kuuziwa na wauzaji wa maduka madomadogo maarufu kama maduka ya mangi na waha. Wauzaji wa bidhaa hizo aidha hawafatilii muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa zao ili wazitoe dukani au wengine hujua na kufanya kusudi kuwauzia watu...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupiga mnada bidhaa mbalimbali ambazo zitaendelea kukaa katika vituo vya forodha kwa siku 30 baada ya tangazo lao.
Kwenye tangazo hilo wameambatanisha excel sheet yenye orodha ya bidhaa, wamiliki na mahali zilipo. Bidhaa hizo ni za sehemu mbalimbali...
Habari wana jamii forums.
Nipo na rafiki yangu yupo USA,mji wa califonia anahitaji kunitumis zawadi huku nchini Tanzania, anadai gharama za tozo ni kubwa nchini kwao kuja afrika as parcel ,msaada nifanyeje ili ni mshauri inifikie zawadi yangu ni digital portable computer na simu kwa wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.