TAARIFA KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)
Ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "SAFARI PRIMIUM TEA"
@TBS_Tanzania
====
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha utata unaotokana na taarifa...
Habari wapendwa,
vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu.
1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20000)
2. Lamination...
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?
Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.
Tozo ziko...
Kinachonikosesha imani baada ya fantastic philip kuelezea mchanganyo wa Asobic Acid na Benzoate ambazo zikichanywa zinaleta madhara.
Vipi ikiwa Azam atachanganya kimya kimya na kwenye ingredients asiandike, je kuna vipimo vya kupimia na kujua mchanganyiko huo?
Mfano, sayona tunda tutajuaje...
Unakuta mtu amenunua kitu dukani, let's say juice, anaifungua, anainywa, bila hata kuangalia namna ya matumizi au expiry date.
Kwa ufupi Watanzania wengi Hatuna utamaduni wa kusoma lebo za bidhaa tunazonunua iwe vyakula au vipodozi...
Lengo la lebo ya bidhaa ni kukupa taarifa zifuatazo.
1...
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.
Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili...
Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni ripoti ya mauzo ya mwezi October, November na December 2022.
Apple imeonyesha mapato ya dola...
Hapa sinzungumzii bidhaa za yule msanii mwana FA la hasha bali ni za ile chapa ya FA, wanakuwa na deodorant nzuri sana. Mimi huwa napenda hasa ile imetengenezwa kwa watermelon.
Sasa nmejaribu kutafuta sana naona ni kama sasa hivi zimekuwa adimu madukani.
Msaada ni wapi nitapata, nipo Morogoro.
Habari za leo marafiki, vijana wenzangu, wakubwa wangu na maboss zangu,
Naomba tushiriki huu majadala kwa kupiga kura ikiwezekana tutolee na maelezo.
Karibuni
Watanzania ni watu wa ajabu sana.
Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko.
Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja...
Kama una pesa za kupoteza yaweza usijali sana.
Wafanya biashara na watoa bidhaa wanafanya kila mbinu kuitaka pesa yako. Wana kila mitego ambayo usipoangalia unaweza kuwa mtumwa wa kununua vitu bila mpango. Matangazo kila station ya redio na tv kupamba bidhaa.
Hii kesi hasa ni kwa bidhaa za...
Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma...
Kwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefuchefu na kukatisha tamaa.
Jioneeni wenyewe nisiseme sanaa;
kwa wanaonunua mizigo bila kodi ya vat 18% naweza kuwaelewa kwamba wapo kundi moja na wale wa magendo, ila hawa wanaonunua mizigo yenye vat inakuwaje sasa.
Mfano mfanyabiashara kaenda kufunga mzigo flani, huo mzigo alionunua ni mkubwa na kafaidika kwa punguzo la bei ya jumla, akipiga hesabu ya...
Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.
Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu...
Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
Salaam wakuu.
Natumai wote mpo salama na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida.
Nina swali ambalo pengine naweza pata majibu hapa,
Mmea wa Bangi unatumika kama dawa kwa baadhi ya watu na wengine wanautumia kwa dhumuni la kujistarehesha kihisia si ndivyo?
Sasa maswali yangu ni haya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.