bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Ikulu; bidhaa ya kibiashara Meza Kuu

    Wakuu. Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana. Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?
  2. sky soldier

    Tozo ya laki 6 na elf 20 katika kila milioni 1 ya bei za bidhaa zinazoletwa nchini ni kabali ya mbao

    NA BADO KUNA KODI YA STOO Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba, Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka...
  3. Mpinzire

    Ni sahihi kuingiza bidhaa sokoni ikiwa umebaki mwezi mmoja kuexpire?

    Habari za jumapili wadau! Binafsi nimekuwa mpenzi sana wa mtindi wa kampuni ya asas! Siku kadhaa hapa nyuma nilikutana mtindi ambao ulikuwa na harufu mbaya sana, binafs nikawa nahisi uenda humu kwenye maduka friji huwa wanazima labda ndiyo maana inaharibika. Niliwaambia wauzaji kuwa mtindi...
  4. AKAN

    Natafuta hizi bidhaa

    Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa. Poleni kwa majukumu, naomba kufahamishwa ni wapi nitapata hizi taa kwa Dar es Salaam.
  5. INSIDER MAN

    TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

    Mwaka huu kazi kazi. Tukiwa kwenye majonzi ya kodi ya nyumba hasa kwa wale wanaoishi kwenye maghorofa, TRA inawataka wafanyabiashara kusajili store zenu.
  6. Mahrez

    MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Bakar Hamad Bakar: Bidhaa Inayotoka Zanzibar Kuja Bara Isilipishwe Kodi

    MHE. BAKAR HAMAD BAKAR - BIDHAA INAYOTOKA ZANZIBAR KUJA BARA ISILIPISHWE KODI KODI ZA BANDARINI KERO KWA WANANCHI Mbunge wa Baraza la Wawakilishi katikaBunge la JMT (Zanzibar) Mhe. Bakar Hamad Bakar akiwa anachangia bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira amesema pamoja na...
  8. Kyambamasimbi

    Hivi TBS wana kazi gani mpaka wasubiri bidhaa zilete madhara ndio waanze uchunguzi au ni Rushwa tu?

    Inafika mahala hii nchi inakera Sana, tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji wa bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke...
  9. GENTAMYCINE

    Wenye Baa tafadhali Wadhibitini Wamachinga wanaotuuzia Bidhaa tukiwa katika Mazungumzo au Tunakula ndani ya Baa zenu

    Nimekereka mno Jioni hii baada ya kuingia Baa Moja na wakati Nakula Chakula changu kaja Mmachinga Mmoja na kunisogezea Usoni mwangu karibu na Mdomo Ndaba ( Kiatu ) ili Nikinunue na nilipomwangalia nikihisi labda Kakosea na ataniomba Radhi nikashangaa Kiatu kingine Kimeshadondoka katika Sahani...
  10. KingsStore

    Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
  11. Sambazah World

    Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
  12. HERY HERNHO

    Nchi jirani na Ukraine zatangaza marufuku ya uagizaji wa bidhaa za kilimo kutoka Ukraine

    Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu. Bidhaa za...
  13. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Uwekezaji amesema mwenye duka ana jukumu la kuhakikisha bidhaa husika ipo katika hali inayotakiwa kabla hajamuuzia mlaji

    DKT. EXAUD KIGAHE - MWENYE DUKA ANAJUKUMU LA KUHAKIKISHA BIDHAA HUSIKA IPO KATIKA HALI INAYOTAKIWA KABLA HAJAMUUZIA MLAJI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa...
  14. T

    Wataalam, kwanini mnadhani kila kitu kinabadilika na kuwa ghali? Ni kuupiga tafu uchumi unaokufa?

    Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo yote mitatu, na sasa ni wachache sana wanaokula Milo mitatu kama siyo viongozi tu na wenye nafasi hapo...
  15. Kainetics

    Lead Generation 101: Muongozo Kwa Wafanyabiashara Wanao Promote Bidhaa Zao Kupitia Mitandao ya Kijamii

    Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
  16. S

    Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

    Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao. 'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
  17. Rumi96

    Msaada wa bidhaa za kuagiza China, zinazouzika Dsm.

    Wakuu habari ya majukumu! Nimepata mfadhili anataka awe ananitumia bidhaa kutoka China, kaniambia nifanye utafiti wa bidhaa zinazouzika Tanzania. Msaada wa bidhaa na mtaji unaohitajika, natanguliza shukrani.
  18. ELIJAH TANFOAM SUPPLIER

    Karibu ujipatie Magodoro ya Tanfoam moja kwa moja kutoka kiwandani

    Habari wapendwa. Kwa Anayehitaji Msaada wa kupata Magodoro ya Tanfoam moja kwa moja kutoka kiwandani. Nipo kumsaidia. +255746482119/+255757637525
  19. R

    Wafanyabiashara mtandaoni mkiweka bei za bidhaa zenu bayana mnapungukiwa nini?

    Unaamua kufanya biashara mtandaoni halafu huweki bei, lengo lako ni nini? Inakera sana unakuta ukurasa umejaa watu wanauliza bei halafu hazijibiwi au wakijibu ni jibu la 'njoo DM' au 'piga namba hiyo hapo' ama 'kwa maelezo zaidi njoo WhatsApp'. Kwani mkiweka bei kila mtu akaona mnapungukiwa...
  20. stewie

    Bidhaa tofauti za watoto zinauzwa kwa bei rafiki

    🔹Audio Card readers za watoto -: Hizi unachomeka kadi yenye pande mbili kisha inatamka hilo neno la kiingereza na pia hutoa milio ya wanyama, ndege nk -: Ina maneno zaidi ya 200 na inakaa na chaji na inakuja na usb yake ya kuchajia pia ina nyimbo ya alphabets Bei 28,000 Tsh 🔹Bidhaa ya pili ni...
Back
Top Bottom