Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli.
Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na kusafirisha mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kila siku na hivyo basi nimeweka Matangazo...
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho hayo.
Kigahe amesema kuwa mikoa yote nchini imeleta washiriki kwenye maonesho hayo kwa siku 10 na kutoa...
Habari yenu wakuu, Katika harakati za kuendelea kujitafuta ndipo nimepata wazo la kuwaletea huu uzi ambao unaweza kuwasaidia watu wengi kujipatia bidhaa zitakazoweza kuwatatulia changamoto majumbani mwao au kuongeza muonekano mzuri wa majumbani mwetu tukiachana na mashuka na mapazia humu...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji kukuza viwanda, kuongeza ajira na kipato cha mtu binafsi na pato la Taifa.
Kigahe ameyasema...
Moto mkubwa umeibuka katika maeneo ya karibu na soko kuu lililoko manispaa ya Mpanda mkoani Katavi na kuteketeza mali zinazotajwa kuwa na thamani ya Shilingi milioni tano ambapo jeshi la zimamoto na uokoaji limefanikiwa kuuzima moto huo.
Shabani Hassani ni shuhuda wa kwanza kuuona moto huo na...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora.
Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
Habari wakuu
Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu mke wangu niliempa mtaji akafanye biashara ya duka la kuuza urembo wa kike pamoja na saloon lakini akauwa ile biashara.
Yule alikua anafanya biashara kisa wenzake wanafanya lakini nina mchepuko wangu huwa ananipoza nikiwa dar, yeye kiukweli anajua...
Habari zenu wapambanaji,
Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya laki kwa kila pc.
Bidhaa iyo haijalishi iwe inapatikana nchini mwetu au kuagizwa.
Asante
Habari Wakuu.
Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo.
Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na Wechat kwa pesa ya kwao Chinese Yuan. Chukulia Chimbo kama 1688 unaishia kula kwa macho maana huko ni...
Tunachotakiwa kukidai kwa wakoloni na wote waliojihusisha na biashara ya utumwa ni kwamba wanatakiwa kuomba radhi na wakiri kuwa, walitufanyia jambo la kinyama sana!
Cha kusikitisha ni kwamba hadi sasa hakuna aliyewahi kujitokeza kuomba radhi rasmi, japo wanakubali kuwa biashara hiyo...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuhakikisha bidhaa hizo zinakaguliwa ili kulinda afya za Watanzania, na wenye Viwanda vya ndani kuhakikisha bidhaa zinakaguliwa na Shirika la Viwango Tanzania(TBS) kabla ya matumizi...
Oraimo ni brand ya mchina lakini mchina anayejielewa.
Bidhaa zake huwa ni imara sana, kuanzia Charger, USB Cables, Ear Pods, Power Banks nk
Kwasisi watu wa kipato cha kati hizi bidhaa zake zinatufaa sana, nina charger tangu 2019 haijawahi kuharibika!
Bidhaa za Oraimo ni imara na zinapatikana...
Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), litaendelea kutoa elimu na kuwafikia wadau wengi zaidi ili wafahamu mchango wake katika uchumi wa nchi.
Hayo yamebainishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania, Godfrey Malekano alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam...
Afrika Kishirikiana Kutatua Changamoto ya Usafirishaji Bidhaa Baina ya Nchi
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema Nchi za Afrika zimekubaliana kushirikiana katika kutatua changamoto mbalimbali za kibiashara ikiwemo usafirishaji wa bidhaa ndani ya Bara la Afrika...
Ndugu na marafiki, habari za Jumamosi ya leo, Tarehe 02/09/2023.
Ndugu zangu, leo napenda kutoa elimu moja juu ya sarafu za mataifa mengine, bila kusahau sarafu yetu ya shilling.
Zipo sarafu nyingi hapa duniani, kama vile Yuan ya China, Yen ya Japan, ruble ya Urusi, dola ya Marekani, euro...
Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei!
Sasa iweje pawe na...
Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola
Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi huku kukiwa na hali ya kutia wasiwasi juu ya kuendelea kuporomoka kwa shilingi...
Serikali ya Marekani imesema inafikiria kuongeza muda wa vizuizi vya uuzaji nje wa bidhaa za chip kwa China vilivyoanza mwezi Oktoba mwaka jana, ikiwa ni juhudi zaidi za kudhoofisha maendeleo ya sekta ya akili bandia ya China. Gazeti la "the New York Times" limechapisha makala ikisema hatua hii...
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa ubora unaohitajika sokoni na kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa ili kukabiliana na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.