The Basic Income Earth Network (BIEN; until 2004 Basic Income European Network) is a network of academics and activists interested in the idea of basic income. It serves as a link between individuals and groups committed to or interested in basic income, and fosters informed discussion on this topic throughout the world. BIEN's website defines a basic income as "a periodic cash payment unconditionally delivered to all on an individual basis, without means-test or work requirement."
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Bien ametoa ujumbe kwa wakenya wanzake akiwasihii kuhimiza umoja miongoni mwa wa afrika wenzetu.
Bien amezungumza hivi kufatia tukio lilotokea hapo Kenya wa baadhi ya raia kutaka waburundi wasio na vibali waondoke nchini hapo, katika ujumbe aliouchapisha Bien...
Bien kutoka Kenya ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki wa Afrika Mashariki kwa kutawala kwa takriban miaka sita mfululizo. Tatizo ni kwamba baadhi ya mashabiki wa Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) na kundi lenu bado ni wabishi kukubali ukweli huo licha ya mafanikio yanayoonekana wazi.
Msanii wa Kenya Bien alipata nafasi ya kufanya mahojiano katika kipindi cha Breakfast Club Power New York, Marekani, ambapo aliongea mambo mbalimbali ikiwepo hali ya siasa nchini Kenya.
Amesema pia kumekuwa na matukio mengi ya utekaji, akisema kumekuwa na uhuru wa kujieleza lakini si uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.