The Bien atoa neno; Wakenya wanaowafukuza waburundi

The Bien atoa neno; Wakenya wanaowafukuza waburundi

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Bien ametoa ujumbe kwa wakenya wanzake akiwasihii kuhimiza umoja miongoni mwa wa afrika wenzetu.

Bien amezungumza hivi kufatia tukio lilotokea hapo Kenya wa baadhi ya raia kutaka waburundi wasio na vibali waondoke nchini hapo, katika ujumbe aliouchapisha Bien alisema " Leo ni mburundi nchini kenya, kesho ni mkenya pahali pengine" akisisitiza kuwa shambulio dhidi ya jamii moja linapaswa kuonekana kama tishio kwa waafrika wote.
1788852836597.png

1788852910703.png
 
Back
Top Bottom