bien

The Basic Income Earth Network (BIEN; until 2004 Basic Income European Network) is a network of academics and activists interested in the idea of basic income. It serves as a link between individuals and groups committed to or interested in basic income, and fosters informed discussion on this topic throughout the world. BIEN's website defines a basic income as "a periodic cash payment unconditionally delivered to all on an individual basis, without means-test or work requirement."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania The Bien atoa neno; Wakenya wanaowafukuza waburundi

    Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Bien ametoa ujumbe kwa wakenya wanzake akiwasihii kuhimiza umoja miongoni mwa wa afrika wenzetu. Bien amezungumza hivi kufatia tukio lilotokea hapo Kenya wa baadhi ya raia kutaka waburundi wasio na vibali waondoke nchini hapo, katika ujumbe aliouchapisha Bien...
  2. JamiiForums Tanzania Bien wa Kenya amekuwa mfalme wa East Africa karibia 6 mfululizo, tatizo ni kuwa vijana wa Nasib na genge lenu ni wabishi mno

    Bien kutoka Kenya ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki wa Afrika Mashariki kwa kutawala kwa takriban miaka sita mfululizo. Tatizo ni kwamba baadhi ya mashabiki wa Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) na kundi lenu bado ni wabishi kukubali ukweli huo licha ya mafanikio yanayoonekana wazi.
  3. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bien aongelea hali ya kisiasa ya Kenya bila uoga, ataja kuhusu upinzani kuminywa, utekaji na nafasi ya vijana, wasanii Tanzania wamekalia Uchawa!

    Msanii wa Kenya Bien alipata nafasi ya kufanya mahojiano katika kipindi cha Breakfast Club Power New York, Marekani, ambapo aliongea mambo mbalimbali ikiwepo hali ya siasa nchini Kenya. Amesema pia kumekuwa na matukio mengi ya utekaji, akisema kumekuwa na uhuru wa kujieleza lakini si uhuru...
  4. JamiiForums Tanzania Bien wa Kenya alivyomfunika Marioo kwenye Trace Music award

    Star muziki kutoka kenya Bien aliouwa vibaya kwenye tamasha la tracemusic award huko zanzibar. https://youtu.be/HNGUzeFNfNQ?si=LJRX1bjiWJqWwAlu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…