Nikiwa home nachota maji au nafua,
Nikiwa kibanda umiza,
Nikiwa kazini balaa
Nikiwa barabarani
Kila ninapokutana au kupishana na dadaz wengi kunakua na sauti nahisikia... ndani yao zikisema..
Nipende nikupe majukumu,
Nitamani ili unieleze nakula wapi na nitalala wapi..
Chukua namba yangu ujue...