bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. milele amina

    Kuuliza sio ujinga: Kuweka picha kwenye tangazo bila jina la mhusika, inamaanisha Nini au unatuma ujumbe gani

    JF Ninaomba kueleweshwa
  2. uhurumoja

    Mo apewe Simba sports club bila masharti

    Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala anaemuwakilisha mkuu wa mkoa
  3. Career Mastery Hub

    Je, unajua ni kwa namna gani maks zako zinapatikana usaili wa kuzungumza bila upendeleo ikiwemo sekretariate?

    👉One of the biggest concerns people have during interviews is the fear of being unfairly judged by the interviewer based on attitude and perception. Today, I will share how your marks are protected. Naaam! Mchakato wa utoaji maksi umedhibitiwa vizuri kwa kiasi hasa pale sekretariate ya Ajira😁...
  4. B

    Watu unawezaje kuishi kwa mshahara wa lakimbili na nusu Bila marupu rupu

    Life La Dsm linafurahisha sana mshahara unaishia "kwenye malazi na makadhi" hapo hatujaweka mavazi😂hapo bado mupenzi hajaomba chochote kitu
  5. Pang Fung Mi

    Mnisamehe sana Nilikuwa Nakosea sana Mwanamke kuwa na Chuchu Dodo bila Nyashi haina vibes za kudumu kwenye Mtanange

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mimi nimekuwa muumini sana wa kipaumbele cha chuchu Dodo, ila kwa hakika naomba nikiri niombe radhi nilikuwa nimepotea kimtizamo na kivigezo , Nyashi Ina mchango mkubwa sana kwenye mvuto na hisia za mizagamuo. Sitaki niwachoshe itoshe kusema hivyo ntaendelea na...
  6. Mindyou

    Kisa nishati safi, Tulia Ackson aweka Uspika pembeni. Aingia jikoni kupika

    Huko mitandaoni, Mbunge wa Mbeya Mjini, kuna video inamuonesha Tulia Acskon akiwa jikoni anapika ambapo alikuwa anatumia nishati safi aina ya mtungi wa gesi. Tulia anaonekana akiwa kwenye nyumba chakavu anapika huku akiwa anasiia namna ambavyo nishati safi inarahisisha shughuli yake ya kupika...
  7. E

    Israel anajivunia akili na technologies anazouzia nchi nyingine. Ni ajabu kusema Israel haina nguvu bila Marekani

    Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
  8. M

    SI KWELI Yanga bado Siku 3 watimize Mwaka 1 bila kufungwa kwenye ligi Kuu ya NBC!

    Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo kwenye Ligi Ligi Kuu ya NBC PL. Eti wadau huyu anasema kweli au anatupanga maana huwa naona kama...
  9. Hypersonic WMD

    Wale wa iPhone 16 tupeane Apps mbalimbali zinazopatikana bila kulipia Apple store

    Tupeane app mbali mbali ambazo n ngumu kupata bure apple store 1.Youtube downloader 2.Music 3. nk nb: Sina iphone 16 waungwana msije mkajaa makasiriko
  10. boyson onlye

    KERO DAWASA, ni lini mtatoa huduma ya maji bila mgao?

    Habari wakuu, Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi, Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank na kuna wakati unakuta maji yote uliyotunza yameisha ndanj na maji hayatoki, hasa kipindi hiki...
  11. PureView zeiss

    Jeshi la israel wafanikiwa kumiliki anga lote la lebanon hakuna ndege kutua bila idhini yao

    BREAKING: Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut. Israel haitaruhusu silaha za IRGC...
  12. L

    Ni ofisi gani inatoa ajira bila kupitia utumishi na wana mshahara mkubwa?

    Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
  13. Baba Kisarii

    Ijue Nyumba Ntobhu - nyumba bila mwanaume kwa jamii ya wanawake wa kijaluo.

    Nyumba Ntobhu maana yake ni "nyumba bila mwanamume" ni aina ya muungano wa jadi usio wa mapenzi ya jinsia moja miongoni mwa wanawake wa kabila la wajaluo Mkoani Mara - ushirikiano huundwa kati ya wanawake wakubwa kiumri na wanaojiweza kiuchumi, ambao kwa kawaida wanawake hao huwa ni wajane au...
  14. Mr_mkisi

    Usitoe ofa bila sababu unapoteza wateja badala yake tumia mbinu hii

    Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ... Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye kutoa ofa hana . Hili ni kosa kubwa wanalofanya wafanya biashara wengi bila wao kujua . Dunia ya sasa...
  15. M

    Je una ifahamu siri ya kufuga nguruwe bila kupata hasara hii hapa.

    Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?,vifo vya mara kwa mara?wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? Umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group ujipatie...
  16. Eli Cohen

    Inakuwaje France ina akiba ya dhahabu tani 2436 bila kuwa na mgodi wakati nchi kama Senegal haina akiba angali kuwa na migodi 860.

    Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika. Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia. Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Hakuna mtu duniani amewahi kuwekewa mikono kichwani na wazazi wake wakamwombea jambo bila mafanikio.

    Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake. Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
  18. M

    Mtoto wa miezi 6.5 takriban masaa mawili analia bila kunyamanza shida inaweza kuwa nini?

    Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza. Hii inaweza kuwa shida gani?
  19. F

    Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  20. Dede 01

    Je, ni jinsi gani naweza kuaccess internet bila kununua vocha au kutumia wifi?

    Habari wakuu! Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi . Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet bila kutumia Vocha au wi fi.
Back
Top Bottom