Hivi wenzangu, mnafanyaje mnapobeti hamgusi fedha mlizoweka kama akiba?

Hivi wenzangu, mnafanyaje mnapobeti hamgusi fedha mlizoweka kama akiba?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Eti Wakuu mnafanyaje?

Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu.

Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
 
Nawapa pongezi makampuni ya ubashiri kwa kuongeza mamilionea na mabilionea mtaani

inasikitisha kuona mtu ajawahi kubet lakini anapiga vita watu kubet, ni sawa na mtu kukashifu walevi na pombe wakati yeye hanywi. Huu ni wivu
 
Betting sio ajira..... rudia tena kusoma , Betting sio ajira!
Huu ni mchezo wa matajiri, just kama show off kupanda dau, kubashiri n.k ! Wanafanya for leisure......

Bongo Nyoso tumeifanya ajira.... utapunwa mpaka ushangae.... wanaokuhamasisha na wanakuonesha mikeka hewa, mara wauza odds hao ni mabalozi wa makampuni na wanalipwa....... jichanganye sasa
 
Back
Top Bottom