CCM ni sikio la kufa sasa hivi wanajidanganya eti wawatumie vyama vibaraka vyao kufanya maridhiano eti bila CHADEMA.
Lakini wote tunakumbuka CHADEMA waliposema NO REFORM NO ELECTION watu wengi wa CCM na vyama vyao pandikizi waliwabeza sana na kuonesha kiburi kuwa uchaguzi utafanyika tu..
Lakini wote tunajua kilichotokea.
Ata sasa naona CCM wanaendelea kubeza nguvu ya CHADEMA kuhusu katiba mpya na free Tundu Lissu. Na maandamano yanayopangwa...
Ni malizie kwa kusema kwamba nchi hii Tanzania haitatawalika bila madai ya CHADEMA kutekelezwa. Tutajidanganya na kujifariji lakini huo ndio ukweli. Take it or leave it.