Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Tec umeitoa wapi kwenye andiko langu?Asalama aleko, Tec inahusikaje?
Tec umeitoa wapi kwenye andiko langu?Asalama aleko, Tec inahusikaje?
TEC umeitoa wapi kwenye andiko langu?TEC hapo inaingiaje unapenda kutukanwa
Na hii AFCON naona mambo mawili yakitokea.No lisu no afcon
July 7 kuna maandamano ??Na hii AFCON naona mambo mawili yakitokea.
1. Kuongeza hasira za watanganyika na hivyo dunia kujua maovu mengi ya watawala feki waliojiweka madarakani. (Rejea ishu ya Rio, walidhani itasaidia lakini imekuwa kinyume)
2. Isifanyike kwa sababu ya maandamano ya 7/7
Kama uchaguzi haukufanyika mbona tuna serikali na kila kitu kinaenda??hata ww ukinunua chochote unakatwa Kodi na serikali..CCM ni sikio la kufa sasa hivi wanajidanganya eti wawatumie vyama vibaraka vyao kufanya maridhiano eti bila CHADEMA.
Lakini wote tunakumbuka CHADEMA waliposema NO REFORM NO ELECTION watu wengi wa CCM na vyama vyao pandikizi waliwabeza sana na kuonesha kiburi kuwa uchaguzi utafanyika tu..
Lakini wote tunajua kilichotokea.
Ata sasa naona CCM wanaendelea kubeza nguvu ya CHADEMA kuhusu katiba mpya na free Tundu Lissu. Na maandamano yanayopangwa...
Ni malizie kwa kusema kwamba nchi hii Tanzania haitatawalika bila madai ya CHADEMA kutekelezwa. Tutajidanganya na kujifariji lakini huo ndio ukweli. Take it or leave it.
Aisee akili yako ndogo sana!!!. Kuwa na serikali ina maanisha uchaguzi ulifanyika. aahaaaa aaha. Na zile serikali zinazoingia madarakani kwa mapinduzi uwa ina maanisha uchaguzi ulifanyika. CCM imejiweka madarakani kwa nguvu. Hilo kila mtu anajua kasoro wewe tuKama uchaguzi haukufanyika mbona tuna serikali na kila kitu kinaenda??hata ww ukinunua chochote unakatwa Kodi na serikali..
Maisha yataendelea hivi hivi mpaka 2030..
No reforms no election hahaha kikalipuka hapo October 29 pumbavuCCM ni sikio la kufa sasa hivi wanajidanganya eti wawatumie vyama vibaraka vyao kufanya maridhiano eti bila CHADEMA.
Lakini wote tunakumbuka CHADEMA waliposema NO REFORM NO ELECTION watu wengi wa CCM na vyama vyao pandikizi waliwabeza sana na kuonesha kiburi kuwa uchaguzi utafanyika tu..
Lakini wote tunajua kilichotokea.
Ata sasa naona CCM wanaendelea kubeza nguvu ya CHADEMA kuhusu katiba mpya na free Tundu Lissu. Na maandamano yanayopangwa...
Ni malizie kwa kusema kwamba nchi hii Tanzania haitatawalika bila madai ya CHADEMA kutekelezwa. Tutajidanganya na kujifariji lakini huo ndio ukweli. Take it or leave it.
Jidanganyenonsense,
maridhiano ya kitaifa yanaweza kufanyika kwa hiyari ya waTanzania wote, bila kuwepo CCM wala chadema.
Jambo hili ni la kitaifa na la wananchi wake wote 🐒
maridhiano is one way move, hayaepukiki gentleman 🐒Jidanganye
Maandamano yajayo polisi wasipotumia akili kama walivyozoea yanaweza kuwa more deadly. Hatutatoka kizembe. Lakini nadhani wamejifunza. Unapoendelea kuwakandamiza watu uoga siku zote uondoka au kupungua na kuwa na ujasiriKuna jambo nahofia kama maridhiano yatafeli.
Kuna somo limewaingia Wananchi kwamba wakiandamana wanauwawa. Sitegemei maandamano yajayo yatahusisha ubebaji wa mabango tena.
Somo la kuandamana mikono limeeleweka.
CCM msitufikishe huko.
Maridhiano yes... Chadema na Mh. Tundu Lissu lazima wawepo. Waliopo rumande lazima watoke kwanza. Na waliotekwa? Kuuawa?maridhiano is one way move, hayaepukiki gentleman 🐒
sio lazima wawepo hata kidogo gentleman,Maridhiano yes... Chadema na Mh. Tundu Lissu lazima wawepo. Waliopo rumande lazima watoke kwanza. Na waliotekwa? Kuuawa?
Let's see... kama hamtemi nyongo soon. Usidhani you are safe kwa kuhujumu wenginesio lazima wawepo hata kidogo gentleman,
wahalifu wote nchini wataendelea kusota korokoroni na kusubiri hukumu zao mahakamani 🐒
Wewe unafurahisha tu jamvi! Na wasiwasi sana na uwezo wako wa kureasonsio lazima wawepo hata kidogo gentleman,
wahalifu wote nchini wataendelea kusota korokoroni na kusubiri hukumu zao mahakamani 🐒
hakuna kutema nyongo na wala hakuna aliemeza kitu chochote chenye nyongo gentleman 🐒Let's see... kama hamtemi nyongo soon
Watu wataendelea kuishi kwenye ndoto mara tunafika hii 2030.....Kama uchaguzi haukufanyika mbona tuna serikali na kila kitu kinaenda??hata ww ukinunua chochote unakatwa Kodi na serikali..
Maisha yataendelea hivi hivi mpaka 2030..