Sumu za kummaliza mtu bila ushahidi zinapatikana Russia!?

Sumu za kummaliza mtu bila ushahidi zinapatikana Russia!?

chadema kwa kuwaza ujinga hapana kwa kweli

dunia imebadilika chadema kwa sasa hakuna muda wa vibonzo huku mkisubiri ruzuku huko tumesha hama toka 2015
 
Hakuna asiyejua kama Putin ndiye kinara duniani wa kuwashughulikia wakosoaji na wapinzani wake wa kisiasa. Lissu na wapinzani wengine (wakiwemo wa ndani ya chama tawala) wanatakiwa waongeze umakini kuanzia sasa.
 
Hata kabla ya kwenda Russia huwa wanazo sumu na wanazitumia vilivyo..

Jiwe,
Jenista
Lukuvi
nk..

Labda kama wanatafuta za viwango vya 5G
 
Dulla na mama yake si ndo wameenda huko kusaka sumu ya kumsambaratisha Yuda wao.

Usiulize majibu mkuu. Mfano mzuri ni kwa Jiwe, walimuweza.

Ngoja warudi tuone sarakasi zao kwa Yuda.
Lazima debe 2 zitabebwa.
Mungu mlinde lisu
 
Back
Top Bottom