Barakha John
Member
- Sep 24, 2024
- 49
- 163
Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used….
Je,
Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo.
……naona unabisha pengine wewe mwenyewe au rafiki au ndugu ulisha wahi muona amenunua simu mpya kabisa na amefungua kwenye box …sasa inawezekanaje ikawa ni simu Used?
Umejiuliza swali zuri….
Lakini kabla sijakuthibitishia hili tujuane kwanza….
Mimi Naitwa MKISI kwa profesional ni mtaalamu wa maswala ya Marketing , Branding na Advertising …na nimepata degree kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Kwasasa…..
Nimejikita zaidi kwenye Teknolojia nikiuza Laptop na Simu original kwenye soko kubwa la Kariakoo, nikiwa na uzoefu wa miaka zaidi ya 5.
…..nimeona upotoshaji mkubwa kuhusu simu , ndio maana nimekuwa natumia muda mrefu kuwaelimisha watu kuhusu simu na Laptop kuliko kujitangaza kama muuzaji tu ili kusaidia watu kujua ukweli juu ya mambo haya.
Pengine,....utahitaji kujifunza zaidi au kununua simu na laptop…nifollow sasa kwenye mitandao yetu ya kijamii kama @simukidigitali au unaweza kunicheki WhatsApp au ukapiga +255 757468193
Haya tuendelee…
Lakini kabla hujaendelea, unajua nini kuhusu simu REFUBRISHED ? NON ACTIVE Na USED?
….. Kama bado hujajua ….
Soma hapa ….,
SIMU USED…..ni simu ambayo iliuzwa ikatumika na mtu baada ya kipindi fulani ikauzwa tena kwa mtu mwingine…..
SIMU NON ACTIVE…..maana yake ni simu ambayo mteja anauziwa na anaanza kuitumia mwenyewe kama mtumiaji wa kwanza
Hapa…, kama unaichaji kwa mara ya kwanza ina anza kuhesabu cycle charging count kwa mara kwanza na taarifa za simu zitasoma ni wapi mara ya kwanza simu hiii ilianza kutumika.
Hii ipo complicated kidogo lakini hivyo ni kwa kifupi tu.
SIMU REFUBRISHED ….hizi ni simu ambazo ziliuzwa kwa watu tofauti duniani, baada ya muda fulani kutokana na sababu tofauti zikarudishwa tena kiwandani zikaangaliwa upya na kama zilikuwa na shida zikatengenezwa alafu zikarudishwa tena kwenye box na kurudishwa sokoni.
…..nafikiri umenielewa hapo , kama hujanielewa rudia tena kusoma hapo juu….
Kwa uliye elewa tuendelee….
Sasa ukweli ni kwamba APPLE wakiingia kwenye series fulani ile ya mwanzo huwa wanasitisha kutoa.
Mfano kwa sasa Apple wapo kwenye series ya 17 inamaana series ya 16 kushuka chini walisitisha kutengeneza …
Hivyo basi….
Sokoni iphone 17 NON ACTIVE zinapatikana kwa wingi sana zikifuatiwa na iphone 16 ,lakini kuanzia series ya 15 kushuka chini ni ngumu sana kupata NON ACTIVE na hata ukiipata itakuwa inauzwa bei ghari sana.
Najua unaweza kujiuliza sasa Tatizo lipo wapi ?
Swali zuri ….
Soma hapa,,,,,,,
Ukipata NON ACTIVE hiyo usiwe na wasi wasi nayo kabisa utakuwa umelamba bingo huto ona simu hiyo imekuletea shida .
Lakini kwenye refub hapa ndio tatizo linapo anzia ….
Hapa utapata refub grade namba 1 na grade namba 2
Zote zinakuja na box, kwa haraka haraka ni ngumu kutambua ipi ni namba moja na ipi ni namba 2 , hapa ndipo utaona umuhimu wa kuto nunua simu kwa kila mtu , hapa ndipo wauzaji wa uhakika na zoa zoa wanapo jitenga kama maji na mafuta.
Grade namba moja inakuaje !?
Refub Grade A , ni simu ambayo ikatumika ikarudishwa kiwandani kwenye APPLE store wenyewe au kwa makampuni yanayo tambulika na Apple kama official Dealers na ikafanyiwa check up ya uhakika na kuthibitishwa kuwa ni simu ya uhakika kabla ya kupakiwa tena kwenye box na kurudishwa tena sokoni.
Simu hii ikirudishwa sokoni sifa yake ni kuuzwa bei ghari kidogo zikiwa na utofauti mdogo sana na zile NON ACTIVE.
Refub Grade namba 2….hizi ni simu ambazo zinapakiwa kiholela na kila mtu bila kuzingatia ubora na uhakika wa simu husika , hapa ndipo unaweza kununua simu unaifungua kwenye box lakini unaikuta inajizima zima na matatizo mengi sana.
Sifa yake kubwa ni huwa zinauzwa kwa bei nafuu sana.
Sasa utazijuaje?
Kama sio mzoefu wa masuala ya iphone ni ngumu sana kutambua ubora wa simu hizi ipi ni namba 1 na ipi ni namba 2
Ila kama mzoefu ukiishika tu box lake utajua utofauti wa grade namba 1 na 2 ningeweza kuweka wazi kila kitu , ila kwa sababu za kulinda biashara za watu wengine na uhusiano na wateja wao sitaweka wazi mbinu za kujua moja kwa moja.
Ila ukifika dukani kwetu nitakuonesha kwa vitendo simu grade A na grade B
Hivyo bhasi…..
Epuka sana kununua iphone, hasa kuanzia iphone 11 mbaka 17 kiholela kwa kila mtu, maana kuna simu asilimia kubwa zisizo na ubora hakikisha unanunua kwa mtu sahihi au sehemu sahihi na kuamunika ili kuepuka kupoteza pesa yako na kujutia badae.
Jambo muhimu…linalo waponza watu wengi ni kuangalia sababu ya bei tu , ukiwa mtu wa kutaka vitu vya bei nafuu upo hatarini kupoteza pesa zako kirahisi sana .
NB. wauzaji wa simu original ni wachache sana kwa sababu huridhika na faida kidogo lakini walio wengi Tanzania huuza bidhaa za bei nafuu lakini zenye ubora wa kutia mashaka.
Je, ungependa kununua simu na laptop original kutoka kwetu
Tupigie sasa au WhatsApp +255 757468193
Tupo kariakoo , aggrey na msimbazi , mkoani na nchi jirani unatumia kwa BUsi au ndege.
Usisahau kutufollow instagram , facebook na Tiktok @simukidigitali pia unaweza jiunga na group community yetu ya WhatsApp ili upate updates za teknolojia na kuhusu maujanja ya simu.
Karibu sana.