Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo Wote!
1. Katika siasa za kiroho, Spiritual politics, Yuda iskariote, ambaye amebeba uhusika wa kumsaliti Yesu Mnazaethi, nje ya sifa zake nyingine.
2. Dhima ya Yuda duniani ilikuwa kuhakikisha ukombozi wa Dunia kupitia Yesu unakamilika.
3. Kumbuka Yesu ndiye alimchagua Yuda ili awe mwanafunzi wake. Na Yuda hakuwahi kumwomba Yesu awe Mwanafunzi.
4. Kama Yesu asingemchagua Yuda, huenda hivi Leo tusingemjadili Yuda naan Yuda iskariote.
5. Yesu ili aufie Ulimwengu ilimpasa amchague Yuda, kisha Yuda baadaye amsaliti.
6. Yuda anabaki miongoni mwa key figure, mtume muhimu na walazima katika ukombozi wa wanadamu katika mambo ya kiroho kama wanavyoamini Wakristo.
7. Mchango wa Yuda kwa Wakristo na kwenye Ukristo ni Mkubwa Sana kuliko wa mitume wengine, kwa sababu akitoka Yesu anayefuata ni YUDA kwenye mission hiyo.
Kosa alilofanya Yuda baadaye ni kujiua tuu. Lakini mengine yote yalikuwa kwenye mipango ya spiritual politics
8. Watu wengi wanapomtaja Yuda humfikiria kama MTU mbaya lakini katika muktadha wa siasa za rohoni ni mhusika asiye na mbadala.
9. Unapomsema Yuda lazima ujue Yuda ni msafisha njia. Mfungua mlango wa ukombozi. Na mkombozi mwenyewe yupo.
10. Unapomuita mtu Yuda kwa kumrejelea Yuda iskariote basi hicho kwake ni cheo kikubwa.
11. Ingawaje wengi humtaja Yuda wakimaanisha mtu msaliti. Lakini spiritual politics Yuda hakuwa msaliti. Bali alikuwa kwenye kilele cha kusudi lake kuu cha kuhakikisha ukombozi unakamilika.
Ikiwa kwenye maisha yako Yupo mtu unayemuona Yuda, je Yesu katika maisha yako ni yupi? Je ni wewe mwenyewe au kina mhusika mwingine ambaye ni Yesu?
Mjadala mezani.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam