Afariki dunia baada kurushwa bila kamba ya kumshikilia mchezo wa kujirusha daraja refu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Msichana mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kurushwa kutoka kwenye daraja la mita 40 huko Limeira, Brazil na wafanyakazi wa kuruka kwa kamba ya bunge (bungee jump) ambao walisahau kumfunga kamba yake ya usalama.
 
View attachment 3607357
Kwamba hata yeye mwenyewe alisahau kama hajafungwa hiyo kamba!!!!
 
R.I.P.
Inasikitisha sanaaa
Imenifunza kuendelea kukumbuka kuuliza wahusika wa lolote kama la usalama wangu umefanyika kabla ya hatua ingine.. Na umuhimu wa wengine kucheki wenzao (kisehemu/kikazi) kama wametimiza jambo...

Wengi wanaweka imani kwa mambo mengi bila kuuliza, natumaini kwa bahati mbaya hili limeleta kifo kibaya sana kwa binti huyo, ila ataokoa maisha ya wengi.

N.b. Nimeshindwa hata kuangalia video za hili. Siweziiiii.....
 
Ndo huyu dah
IMG_8903.webp
 
Wewe mrembo upo?
 
Back
Top Bottom