Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Huu Uzi mbona kama ni KambaMsichana mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kurushwa kutoka kwenye daraja la mita 40 huko Limeira, Brazil na wafanyakazi wa kuruka kwa kamba ya bunge (bungee jump) ambao walisahau kumfunga kamba yake ya usalama.
View attachment 3607357