Spiderman jr
Senior Member
- Jun 4, 2026
- 130
- 296
Tuite hiyo ni ajali?
Na bado mdogo sanaKarembo sana.
Yule jamaa wa kuruka kwa kamba pale Magomeni Watumishi House alikura pamoja na kuwa alifungwa kwa kamba.Msichana mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kurushwa kutoka kwenye daraja la mita 40 huko Limeira, Brazil na wafanyakazi wa kuruka kwa kamba ya bunge (bungee jump) ambao walisahau kumfunga kamba yake ya usalama.
View attachment 3607357
daah ila huo mchezo ni hatari mno nusu kifo, yan nikama kumjaribu Muumba.Ndo huyu dah
View attachment 3607376
Inasikitishadaah ila huo mchezo ni hatari mno nusu kifo, yan nikama kumjaribu Muumba.
Au mlushaj alikua EX wake?
Ni sawa na nyoka wa kijani hana madhara hana sumu ila still bado watu wakimuona wanamtia matofaliAisee,wamemtupa tu kama furushi
Yeah. Ni ajali iliyosababishwa na uzembeTuite hiyo ni ajali?
Kwanza Nambie kwanini wanajirusha? Kuna raha au wanatafuta hela?Yeah. Ni ajali iliyosababishwa na uzembe
Wewe mrembo upo?
Umeamua kunichunia kabisa 🤣🤣Nipo, naona nawe upo. 😊
Brazil kuna warembo sanaKarembo sana.
Yule si alikuwa anataka ashuke kwenye pipaYule jamaa wa kuruka kwa kamba pale Magomeni Watumishi House alikura pamoja na kuwa alifungwa kwa kamba.
Hili swali nimejiuliza sana baada ya kuona hii video ikitrend huko mitandaoniKwamba hata yeye mwenyewe alisahau kama hajafungwa hiyo kamba!!!!
Yeah wakutosha,nakumbuka song la Snoop Beautiful chupa alilichukulia brazil,Jamaa wameamua kumtoa kafara kabinti ka watu.Brazil kuna warembo sana
Alafu siyo wachoyo wa kugawa
Ova