bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Burudani ya soka bila EPL

    Kumbe unaweza kuburudika kwa kutazama futbol bila hata mechi za EPL. Binafsi nilikuwa natamani sana EPL ingekuwemo kwenye king'amuzi cha Azam lakini ndiyo hivyo tena. Pamoja na kukosekana kwa EPL ndani ya Azam, lakini kwa sisi wapenda soka, angalau nafsi inaridhika kwa kutazama mechi live...
  2. Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

    Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃 Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo. Rafik yangu alikuwa ni wale...
  3. Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

    Hapo vip!! Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili. Pili ninapoona ushetani...
  4. Mwanawake: Kwani haiwezekani kupiga Picha bila kuonesha makalio?

    Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni??? Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji (...
  5. Siasa bila pesa, chawa na ndumba hutoboi

    Siasa zetu za kibongo bila chawa, ndumba na pesa hutoboi. PhD tupa kule! NB: Antipasi kazi unayo, itakuchukua miaka 10 kununua gari jipya.
  6. Wameblock telegram? Bila VPN haifanyi kazi

    Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao.
  7. G

    Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  8. OMBEENI UHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA YENU BILA KUCHOKA..

    ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu, na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana.... hongereni sana kwa hatua mliyofikia, Mungu...
  9. Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

    Habari zenu watu wa mapenzi. Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani. Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
  10. Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

    Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol Je tumchukuwe hatua gani kama raia
  11. Waziri wa TAMISEMI ndio aliyetoa amri ndugu zetu wa NGORONGORO wahamishwe bila ya utaratibu Maluku, waziri awajibishwe

    Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake. hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo Mkwe anakuaje waziri wako...
  12. Ni kweli biashara za ziwani au baharini na madini bila uchawi hautoboi?

    Habari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza biashara za ziwani ila mambo ninayoambiwa hadi naogopa, wanasema watu wamekuja na mitaji yao wamepotea...
  13. Lazima una mtu fulani ambaye huwa unampigia simu bila sababu ya msingi

    Kama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle. Sasa kama ya boda huna si inabidi uprint na miguu safari yako. Sasa katika kutembea huwa hakosekani best yako au mpenzi mmoja ambaye kama una madakika ya kumwaga lazima...
  14. Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  15. Yaani Tajiri mwenye Range Rover 'anamuovateki' Masikini mwenye Vitz kwenye Mteremko, halafu anajisifu bila Aibu kabisa

    "Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe tunataka kuupeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Tutatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza Uwanja wa ugenini" Ally Kamwe Chanzo: Young...
  16. Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  17. E

    Je naweza je kutengeneza Koni(Ice cream) bila machine kwaajili ya biashara?

    Wadau naomba mnielekeze namna naweza kutengeneza ice cream za koni bila kutumia machine
  18. Miaka 4 azam bila kombe..yanga mechi 5 makombe mawili medali 2...dubee wee

    Shikamooo engn hersi poppte uliipoo
  19. Wagonjwa wa kiharusi wafanyiwa upasuaji bila kufungua fuvu kwa mara ya kwanza MOI

    Kwa mara ya kwanza Taasisi ya tiba ya mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya upasuaji wagonjwa 11 wenye kiharusi na magonjwa mengine ya mishipa ya damu ndani ya ubongo bila kufungua fuvu kupitia mtambo wa kisasa wa Angio suite (Cath lab) uliopo MOI. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt...
  20. A

    Iran kapiga kwenye mshono bila hata ya vita

    Israel ambaye alikuwa anajisifu yeye ni super power hakuna hata risasi inaweza kupenya, leo hi analia na kupiga kelele Iran anataka kunipiga namba mnisaidie😄 Iran kafanikiwa kushinda vita kabla hajanza, kwa kuyafedhehesha mataifa kama US, UK, France, Germany na Nato kiujumla. Kayafedhesha kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…