Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.
Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Alianza safari yake ya muziki wa Bongo Fleva mwaka 2003, alipozindua albamu yake ya kwanza, "Mapenzi Yangu."...