The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Mtu kama Mzigua90 akinikubalia ntachepuka ili iweje? Kazi yangu itakuwa ni kutafuta hela na kumletea, nayeye kazi yake itakuwa kuhakikisha napata raha. Nasema uongo ndugu zangu?
Ndugu wanasheria, rafiki yangu anaomba msaada wa kisheria ili apate haki yake.
Alichukua mkopo bank na kuweka gari yake kama dhamana, ila kwa bahati mbaya akachelewesha marejesho mpaka dhamana yake ikakamatwa na madalali.
Hiyo gari yake imeuzwa bila yeye kupewa taarifa ya mnada, anakuja...
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona Serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yaani kujibebesha mzigo juu ya...
Nimehamia mtaa wa pili baada ya sinto fahamu iliyotokea mtaa wa kwanza ambapo mke wa mtu alinizoea sana mpaka watu wakahisi vinginevyo, kuepusha shari nimehamia mtaa wapili, huku nilipo hamia kwenye chumba cha upande wa kulia kuna subwoofer yamaana, upande wa kushoto subwoofer ya kuunga unga ila...
Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa au kuja na mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi?
Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu mzigo wa kodi au tozo kwa wananchi, huku watu hao wakiwa na hoja ya Tanzania ni nchi...
Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana.
Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao.
Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano.
Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe.
Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
Umeshindwa kulipa deni, benki wanakuja kuchukua nyumba
Magonjwa yasiyo na tiba unasubiri kifo
Kufilisika na huna ujuzi wala mtaji
Kugundua watoto sio wako
kuingia 18 za vyombo vya dola,
N.k.
Wengi kimbilio la kupunguza stress huwa ni pombe, ngono, bangi, madawa, n.k. na mwishowe huwa waraibu...
Habari Wanajamvi.
Natumaini mko poa.
Naomba serekali iweze kuangalia upya hawa watumishi WA UHAMIAJI pale wilaya ya mwanga kabla hawajaathiri watu wengi.
Baada ya kuzungushwa mda mrefu katika mchakato wa kupata KITAMBULISHO CHA NIDA, Siku ya tarehe 18 niliweza kuelekezwa kwenda ofisi za...
Na Mwandishi Wetu, Musoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo kuongeza mapato ya Serikali bila ya wananchi kushurutishwa au kuporwa fedha...
Habari zenu Wanajukwaa!
Leo nimekumbuka kipindi tuna miaka 3-7 ilikuwa ikifika jioni baada ya michezo ya siku nzima, mama anakagua miguu kama ni michafu kabla ya kuingia ndani (kuoga haikuwa lazima ila Kunawa miguu ilikuwa Jambo la Lazima, mara kumi usiingie ndani kama miguu ni Michafu)
Baada...
Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
Ndugu zangu Watanzania,
Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na...
Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na kasi kubwa sana katika miongo ya hivi karibuni. Moja ya mabadiliko makubwa ni kuingia kwa smart screens, ambazo zimefanywa kuwa na uwezo wa kuunganisha na vifaa mbalimbali vya kidijitali na kutoa uzoefu bora wa matumizi. Hata hivyo, kununua smart screen...
Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema...
Kila nchi ya Afrika uwa ina vitu vyake fulani hivi ambavyo ukisimuliwa unajua moja kwa moja hii ni Nchi fulani... Mfano
Ukizungumzia Somalia unazungumzia Pirates (Mabaharia wezi), kazi yao kuteka na kuiba meli na vitu vilivyomo, au kuteka wafanya kazi na meli yao hili wadai malipo ya kuachilia...
Mchina huyo Amewaambia waandishi wa habari was gazeti la Washington post kwamba
"Nilisimamishwa na polisi, nikaulizwa jina langu, ghafla nikashngaa naanza kushambuliwa na polisi hao bila kuambiwa kosa langu"
"nmepoteza imani yote niliyokua nayo kwa hawa polisi wetu" aliongezea Mchina uyo...
Mimi ni kijana ambaye ninajishughulisha na shughuli halali za kawaida na ninajipatia kipato halali, ninaomba niwasilishe kilichotokea mtaani kwetu Mkoa wa Katavi, Kitongoji cha Makanyagio Mjini Mpanda mnamo tarehe 3 Aprili 2024.
Tukiwa mtaani hatuna hili wala lile, watu wakiwa wanaendelea na...
Anonymous
Thread
askari
askari polisi
bila
igp
mpanda
mtaani
polisi
wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.