Wasanii kukaushiwa si masikhara, Dogo Janja apiga show bure Arusha bila raia kusogea

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,265
Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana masikhara mamaeeeeeeeeeeeee

haikau show official na pia dogo kwenye mziki si unaona hajatoa nyimbo mda mrefu saaahv kazamia siasa
 
N.a. bado
yaaani mpaka wakome
1766044289125.png
 
Zama zao zimeisha ni wakati wa kufuria mwisho wakaibe waende jera wakanyee debe.
1766044320050.png

mpaka wakome
Samia ng'weeee Samia ng'waaaaaa
Si walikazana kupayuka Mama Mitano tenaa..
Zama zao zimeisha ni wakati wa kufuria mwisho wakaibe waende jera wakanyee debe.
Niliwambia watu watakuja kwenye show zenu ila shart ziwe za bure, Cha kushangaza hata za bure raia hawazitaki dadekiiiiiiiiii
Raia Zina pita TU kama hamna kinacho endelea tutaelewana TU mamaaeeeeeee
Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana masikhara mamaeeeeeeeeeeeee
 
Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana masikhara mamaeeeeeeeeeeeee
Bila Vidio ni ushuzi
 
King Kong III
 
kwenye kampeni Yalikua ynajazana kama manguruee kwenye kinyesi yalijuona ni special sana
 
Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana masikhara mamaeeeeeeeeeeeee

#kaa mbali na CCM inanuka damu za watanganyika#
 
Back
Top Bottom