Wasanii kukaushiwa si masikhara, Dogo Janja apiga show bure Arusha bila raia kusogea

Wasanii kukaushiwa si masikhara, Dogo Janja apiga show bure Arusha bila raia kusogea

kwa wenye maarifa hakuna cha ajabu hapo
Vodacom hawatangazi kwamba leo watakuja kufanya shoo mtaani kwenu
Badala yake huja na kuweka speaker na kuanza kupiga/kuimba; Baada ya kama nusu saa watu huwa wamejaa
Sasa wewe ukichukua video wakati ndio wamewasha speaker lazima itakuwa hivyo.
Kama umefuatilia; kwa kila mtaa hufanya shoo ya takribani masaa mawili au matatu huku nusu saa ni ya kuita watu baada ya hapo huanza matangazo....
Unamatatizo wewe sio bure Yani mziki uwashwe hapohapo na msanii apande? We sio mtu wa hizo mambo pita kushoto tuachie wazoefu, hapo ni barabarani je wale walio kuwa wanapita njiani hawamjui dogo JANJA? Walishindwa nini KUSOGEA ? Huoni hapo ni barabarani? Una matatizo wewe si bure haya fata hela ya nauli kwa p didy
 
Huoni barabara watu wakipita? Kwa hiyo hao watu walitakiwa wakae nyuma ya barabara?
Watu wengine mna KERA unaona nyuma Kuna vibanda tena wale mamama wanachagua simu unakuja kuuliza sijui swali Gani kwa hiyo una mana watu hukaa nyuma ya vibanda wataonaje Sasa?
 
Back
Top Bottom