Hapo bado hatuja Anza kampeni ya mabango" usiende kwenye show , epuka mkusanyiko, kwa usalama wetu,Ni upepo tu nao utapita!!
Unajua dogo JANJA no wa wapi? Unajua ushawishi wa dogo JANJA hapo Arusha, Usha wahi kukaa Arusha?haikau show official na pia dogo kwenye mziki si unaona hajatoa nyimbo mda mrefu saaahv kazamia siasa
Nenda hapo juu ishawekwa chawaBila Vidio ni ushuzi
Kawambie watoto wako nyumbani etiMimi nilikuwepo baadae wat walijaa Hadi uwanja ukawa mdogo.
Kwa matuko ya Mo29, kamwe tz haitakaa irudi kama zamani, walionywa#kaa mbali na CCM inanuka damu za watanganyika#
Dah,Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana masikhara mamaeeeeeeeeeeeee
HeheheeDah,
Wacha machawa wenzao wakahudhurie hizo show
Hiyo ndiyo 98% ya waliomchagua Samia?Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana masikhara mamaeeeeeeeeeeeee
Safi sana kwenye Ile asilimia 98 wamejitokeza kwa wingi kumsapoti marioo
Kaka oktoba 29 haitasahaulika wale watoto walio shuhudia mama yao akiuliwa na polisi ndani, watasahaujeKwa matuko ya Mo29, kamwe tz haitakaa irudi kama zamani, walionywa
Sawa big brotherKawambie watoto wako nyumbani eti
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana masikhara mamaeeeeeeeeeeeee
kuna sehem arusha siijui bablai, huyo dogo hajatoa nyimbo mda mrefu unategemea nnUnajua dogo JANJA no wa wapi? Unajua ushawishi wa dogo JANJA hapo Arusha, Usha wahi kukaa Arusha?
😆😆😆😂😂😂N.a. bado
Atajua kipi zaidi ya uchawa?1.4 m views, likes 22k.. Na kwenye trending inazidiwa na Rose Muhando ambaye hata 500k views hana
Unajua hata kufanya digital analysis
Uko shwari ndugu?😆😆😆😂😂😂