Wasanii kukaushiwa si masikhara, Dogo Janja apiga show bure Arusha bila raia kusogea

Endeleeni kumsapoti mwanasisisemu mwenzenu ,kabla ya kuwasusia ndani ya siku mbili alikuwa na 1.4M views? Unaweza ukaona labda nyingi kumbe haujafanya comparison.
1.4M views ni ndogo? umelewa ama compare na msanii wenu wakazi mwaka mzima ana 12k
 
1.4 m views, likes 22k.. Na kwenye trending inazidiwa na Rose Muhando ambaye hata 500k views hana

Unajua hata kufanya digital analysis
Unataka kusemaje?
Hebu mwaga pumba
 
1.4M views ni ndogo? umelewa ama compare na msanii wenu wakazi mwaka mzima ana 12k
Conscious rappers ,conscious MCs huwafitiliwa na Brains tu na watu wenye akili ni wachache compared na Zero Brains! Ma Zero Brains wanafatilia vitu vya hovyo hovyo so sishangai Marioo akawa na viewers wengi kuliko Wakazi.
 
Nywinywi nywinywi wala nywinywinywi

1000106624.jpg
 
Conscious rappers ,conscious MCs huwafitiliwa na Brains tu na watu wenye akili ni wachache compared na Zero Brains! Ma Zero Brains wanafatilia vitu vya hovyo hovyo so sishangai Marioo akawa na viewers wengi kuliko Wakazi.
Robots wale washa mdaka KULE, akadanganye watoto
 
Conscious rappers ,conscious MCs huwafitiliwa na Brains tu na watu wenye akili ni wachache compared na Zero Brains! Ma Zero Brains wanafatilia vitu vya hovyo hovyo so sishangai Marioo akawa na viewers wengi kuliko Wakazi.
rubbish
 
Back
Top Bottom