Salamu!
Mimi ni muumini na mdau kindakindaki wa huduma endelevu za afya chini ya uwekezaji wa Watanzania wenyewe. Nimesimama na hoja hii kwa muda mrefu na nitasimama nayo hadi kieleweke.
Tanzania kama nchi lazima tukamilishe uhuru kamili kwa kuhakikisha masuala ya msingi, hususani huduma za...
Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024.
Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
Naombeni mtusaidie kupaza sauti au kutafuta ukweli kuhusu bima ya afya inayotolewa na NSSF kuna ukiritimba unaifanywa na baadhi ya wamiliki wa hospitali wakishirikiana na wakuu wa makampuni binafsi kwa kuwataka wafanyakazi wote wa kampuni kutibiwa hospitali moja bila kujali unaishi wapi?
Mfano...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia Kiwanda cha Kusindika Tumbaku na Kuzalisha Sigara cha Serengeti kitaweka Tozo katika mauzo yake ili Fedha inayopatikana isaidie katika huduma za Afya
Rais amesema hayo baada ya kuelezwa na Mwekezaji wa Kiwanda kuwa 5% ya Tumbaku inayozalishwa hapo...
“As we are celebrating the life of the late Benjamin Mkapa, I would like to also mention that the National Health Insurance Fund is also a legacy of His Excellency Mkapa who started the initiative during his presidency”, says Ummy Mwalimu at the 2nd National Human Resource for Health...
Asilimia kubwa ya wananchi wana Bima ya Afya lakini hakuna manufaa wanayopata kutokana na Bima ya Afya. Kila hospitali unayoenda ukiisha elezwa na mganga ugonjwa wako na dawa unazotakiwa kutumia basi hapo lazima uingie mfukoni.
Jana nilienda kupata chanjo ya homa ya ini katika hospitali...
Salaam, Shalom!!
Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
Ni utapeli mkongwe kidogo mpaka sasa bado unaendelea. Bima gani eti unalipwa mpaka pale utakapolazwa kuanzia siku tano?
Tena ukitoka ndipo uanze kufuatilia.
Watanzania wengi wako busy na kusaka ugali, pia hawajui Sheria za msingi. Hawajui waanze wapi kupata haki zao.
Kinachofanyika watu...
Wananchi 3,149 wa kijiji cha Mundindi kilichopo Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wametengeneza historia ya kipekee baada ya Serikali ya kijiji hicho kuwakatia bima ya afya wanakijiji wote ili waweze kupata huduma ya afya bila kikwazo cha fedha.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kulipa fidia...
Pigo jingine kwa Rais Ruto baada ya Mahakama Kuu kutangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na katiba. Sheria hii ilikuja baada ya NHIF kuondolewa, bima ambayo Wakenya wengi wamekuwa wakiitaka irejeshwe.
UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA
Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa.
Kijiji cha Mundindi kimefanikiwa kuandikisha wananchi kwenye mfuko wa Bima ya afya ya Jamii (iCHF)...
Kwanza nianze kwa kukiri kwamba watanzania ni watu wanaojituma sana kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kujipatia maendeleo.
Ila inasikitisha kuwa jitihada za watanzania wengi zinazimishwa na watu wachache wanaoanzisha taasisi au mifuko kwa lengo la kujineemesha kwa kutumia pesa za wananchi...
Hawa bongo movie na comedians wa bongo kwa nini kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihitaji pesa za walipakodi wa Tanzania ziwahudumie katika mambo yao binafsi?
"NHIF wameweka tangazo kupitia ukurusa wao wa Instagram kuwa sasa wanachama wa mfuko wa NHIF sasa wanaweza kutumia namba ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vitioni.
"Sasa unaweza kutumia namba yako ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vituoni. Hii ni kwa wananchama na...
Mifugo na mazao kulipia bima ya NHIF na mikakati ya Tanzania kufikia lengo la bima ya afya kwa wote
Imeandikwa na Bonge La Afya
UTANGULIZI
Njia rahisi na nafuu za kulipia huduma za afya ni nguzo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi. Katika nchi nyingi za...
Utangulizi.
SELF MOBILE HEALTH INSURANCE SERVICE (SMHIS). Ni mfumo wa kidijitali utakao mwezesha Mwanachama hai wa bima ya Afya kuomba kupata huduma ya matibabu kwa kutumia simu yake mwenyewe pamoja na Huduma ya kiafya kwa kutumia bima kupitia mtandao yaani (Digital health insurance service)...
Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.