Nisiseme mengi, mimi nimeleta humu Ili kuibua mjadala wa Sera ya Afya ya CCM na makandokando yake katika sekta na huduma za kiafya hapa nchini.
Hayo chini ndio maelezo ya ushuhuda wake aliyotuma kwa wanagrupu wenzake kule WhatsApp ili wamsaidie kumchangia pesa aweze kugomboa maiti wake ili...
Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
Katika huduma ambayo inazidi kuwa ghali na inachukua maisha ya watu wengi ni ukosefu wa huduma bora za afya
Wakati mwingine watu hupoteza maisha si kwa kutokuwepo kwa madawa au wataalamu wa afya wenye uwezo bali ni kwasababu ya kukosa pesa za kugharamia matibabu na kutoa hongo kwa wahudumu...
Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa mwaka. Na watoto umri wa siku 1 hadi miaka 4 wa mwanakikundi kupata tiba bure na hasa kwa magonjwa...
Habari wanajamvi,
Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
afyaafya tanzania
bila
bimabimayaafya
bora
gani
gharama
gharama nafuu
huduma
huduma bora
jambo
kuambiwa
kufanya
maisha
nafuu
shirika
tanzania
tujitafakari
Kuna magonjwa mengi sugu ambayo kwa kweli yamekuwa tishio lakini binafsi nimeona ni vyema kugusia kwanza upande wa figo, hasa upatikanaji wa matibabu yake na huduma zake. Iko wazi kuwa mpaka sasa hapa Tanzania, asilimia takribani 7% ya watanzania wanasumbuliwa na tatizo la figo na wengi wao...
Ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua adha wanayopata watu wa kipato cha chini pale wanapougua magonjwa mbalimbali.
Serekali na Wizara ya Afya waje na sera ya kumpatia kila mtanzania bima ya Afya ili kuondoa adha hii na hii kupiga tadhimini na kujua namna gani fedha zitapatika ili kufanikisha...
Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela...
Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini
Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
Habari wana jamvi, naona bunge na Serikali ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuweka mazingira ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima.
Kwakuwa ni shirika moja ndio linalotegemewa (NHIF) kwenye hiyo bima ya pamoja kwa watanzania wa maisha ya kati na chini zinaweza tokea changamoto hizi:-...
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :-
-NHIF
-ASSEMBLE
-STRATEGIES
-JUBILEE
-Cigna
-BRITAM
-BUPA
-UAP
-HEALIX
-WCF
-CHF
-Aetna
-NSSF
Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida...
Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu.
Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama sio zote).
1. Utashi mdogo kwa baadhi ya watoa huduma.
Mteja anapohitaji kujisajili/kuendelea na...
Anonymous
Thread
afyabimabimayaafya
changamoto
huduma
katika
nhif
ofisi
taifa
Salaam wana JF,
Wakati ndugu zetu waislamu wakisherekea siku kuu ya eid el fitri, natamani tujadiliane kidogo kuhusu swala la Bima yq afya kwa wote.
Kiukweli, nachukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kuja na mpango wa bima ya afya kwa wote, maana watanzania wengi ambao...
Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao?
Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili.
Labda...
Mbunge Furaha Matondo Ataka Kujua ni Lini Bima ya Afya kwa Wote Kuanza
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Aprili kwa tarehe itakayotajwa.
Dkt. Mollel amebainisha hayo Aprili 3, 2024...
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.
Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.
Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa...
Great Thinkers.
Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile.
Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.