Heshima kwenu Wana jukwaa. Kama mada ilivyo, nilipigiwa simu na kitengo Cha huduma kwa wateja Cha Vodabima, wakidai nimekidhi vigezo vyote vya kujiunga na huduma yao ya Vodacom Bima. Maelezo Ni kuwa kwa idadi ya watoto wangu pamoja na mtegemezi mmoja ninatakiwa kulipia huduma hii TSHS. 7,500/=...