bima

  1. Mwanaisha Mndeme

    ACT WAZALENDO: Hifadhi ya jamii ndio mwarobaini wa Bima ya afya

    HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI! Ndugu Waandishi wa Habari, A. Utangulizi: Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’ uliwasilishwa Bungeni rasmi tarehe 23 Septemba 2022 na unatarajiwa kuanza kujadiliwa katika ngazi...
  2. K

    Viwango vilivyopendekezwa na Serikali, Bima ya Afya kwa Wote

    Hivi karibuni, Rais Samia Suluhu alisema serikali itapeleka mswaada wa Bima ya Afya bungeni ili uweze kujadiliwa. Wakati mchakato huo unaendelea Serikali kupitia Wizara ya Afya imependekeza viwango vya kulipia kwenye Bima. Prof. Makubi amesema uchangiaji unaopendekezwa ni Sh. 340,000 kwa kaya...
  3. J

    Manyara: Diwani kata ya Nangara agawa bima ya afya ya ICHF kwa wanafunzi

    Na John Walter Katika kutoa hamasa kwa wanafunzi wa darasa la Saba kufanya vyema katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya Msingi, Diwani wa kata ya Nangara, mjini Babati mkoani Manyara ametoa kadi za Bima za Afya (ICHF) kwa wanafunzi katika kata hiyo. Akikabidhi bima hizo Diwani wa kata ya...
  4. BARD AI

    Waziri Ummy: Bima ya Afya haitolazimishwa wala kukamata watu

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo leo ikiwa ni siku chache baada ya Serikali kuwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni na kueleza kuwa hakuna mtu atakayepigwa faini kwa kutokuwa na Bima hiyo. Amesema lengo la serikali ni kuwapunguzia mzigo wananchi kwenye matibabu na si lazima...
  5. Sildenafil Citrate

    Bima ya afya kwa wote kuja na “kibano” cha upatikanaji wa baadhi ya huduma

    Muswada wa sheria ya bima ya afya kwa wote umesomwa bungeni kwa mara ya kwanza mwezi Septemba, 2022. Kwa mujibu wa kifungu cha 32, muswada huo umeweka zuio la upatikaji wa baadhi ya huduma muhimu kwa wananchi pasipo kuwa na bima ya afya. Inasomeka Zulo la kupata haadhi ya huduma pasipo kuwa...
  6. K

    Serikali wekeni bima maalumu kwa wazee 65+

    Bila bima maalumu kwa wazee 65+ mfumo mzima wa bila ya taifa ya Afya hauwezi kufanikiwa. Wazee hawa wana matatizo makubwa ya kiafya na ni lazima waangaliwe tofauti sana na vijana. Kuwe na clinic maalamu za wazee ambazo zitafanya ufuatiliaji wa wagonjwa mpaka nyumbani. Hii itapunguza wazee kujaa...
  7. BARD AI

    Bima ya Afya kwa wote inakuja na sheria kali

    Serikali jana iliwasilisha Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHI) 2022 Bungeni ukitoa masharti ya lazima kwa watu kujisajili katika mipango ya bima ili kupata huduma kadhaa za kijamii. Muswada huo pia unatambulisha Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (Tira) kama mdhibiti mkuu aliyepewa jukumu...
  8. BARD AI

    Muswada wa Bima ya Afya kwa wote wasomwa Bungeni

    Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote umewasilishwa bungeni ambapo mwajiri wa sekta ya umma na binafsi rasmi atapaswa kumsajili mwajiriwa katika skimu ya bima ya afya ndani ya siku 30 tangu kuanza kwa mkataba wa ajira. Muswada huo uliosomwa kwa mara ya kwanza leo, Ijumaa Septemba 23,2022...
  9. JanguKamaJangu

    Kenya: Mfumo wa Bima ya NHIF waharibika, wagonjwa wakwama hospitaini

    Wagonjwa waliopo katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na vituo vya afya Jijini Nairobi Nchini #Kenya wamekwama kwa siku mbili kutokana na mfumo wa mtandaoni wa Bima ya Afya wa NHIF kukwama kwa kugoma kupokea malipo ya mtandaoni. #NHIF wametaja sababu ya kukwama kuwa ni kutokana na mfumo wa...
  10. tutafikatu

    Watumishi wa JWTZ wakatiwe Bima ya Afya

    Andiko hili limechochewa na habari ya kujinyonga kwa mwanajeshi William Chacha Giriago huko Dodoma, na malalamiko ya wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambayo yako kila siku, kuhusu wao kukosa Bima ya Afya. JWTZ linajinyumbulisha kuwa lina hospitali pande zote, kuweza kutoa huduma kwa...
  11. Merci

    Mkakati wa kuwa na Bima ya Afya kwa wote na kuikuza NHIF

    Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF. Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
  12. DaudiAiko

    Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma. Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
  13. D

    Maandalizi ya bima kwa wote yabebwe na huduma bora pasipo kulazimishana kwa kunyimana huduma zingine za kijamii

    Kuna mtaalam mmoja huko uingereza aliwahi kusema "Jambo jema likifika kwa wajinga, hugeuka dhahama" Mfano wa Msemo huu tunaweza kuurejelea kwenye tamthilia ya "The god must be crazy" pale ambapo Chupa iliangushwa kutoka kwenye ndege na kuokotwa na 'Bush man'! Kwa hali yao ya ujinga, ile chupa...
  14. R

    Serikali iruhusu ushindani wafanyakazi wajiunge na bima ya afya wanayoitaka

    Hadi sasa kuna kampuni nyingi za bima ya afya nchini ikiwemo NHIF. Cha ajabu, katika mazingira sawa ya kibiashara licha ya NHIF kuwa na upendeleo wa kuwa na wanachama wengi kuliko kampuni zote za bima nchini kwa kujaziwa wanachama lukuki kutoka serikalini na taasisi za serikali, ni NHIF pekee...
  15. BARD AI

    Waziri Ummy: Magonjwa yasiyoambukiza yanauelemea Mfuko wa Bima ya Afya

    Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5, ongezeko ambalo haliendani na idadi ya wanachama wa NHIF. Ameongeza kuwa huduma za matibabu ya figo...
  16. BARD AI

    Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
  17. chiembe

    Ushauri: Kuelekea bima ya afya kwa wote, serikali iweke tozo maalum kwenye sigara, pombe, soda ili mama na mtoto watibiwe bure

    Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
  18. BARD AI

    Waziri Ummy: Bima ya Afya (NHIF) inakaribia kufa

    Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya matibabu ya wanachama wake. Akifungua mkutano wa siku tano wa kikanda wa kuwajengea uwezo kuhusu...
  19. BARD AI

    Matumizi makubwa yatishia uhai wa Bima ya NHIF

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema, imebaini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatengeneza nakisi katika mapato na matumizi, jambo ambalo linatishia uhai wa mfuko. Mwenyekiti wa PIC, Jerry Silaa ameyasema hayo leo Alhamis Agosti 25, 2022 baada ya kupokea taarifa...
  20. B

    SoC02 Afya Yetu Watanzania

    Afya; Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, ni hali ya ustawi kamili wa kimwili, kiakili na kijamii na sio tu ukosefu wa magonjwa na udhaifu. Kuna aina mbalimbali za afya kama vile afya ya kimwili, kiakili, kiroho, kihisia na kijamii. Afya inaweza kukuzwa kwa kuhimiza shughuli zenye afya...
Back
Top Bottom