Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza mchakato wa uanzishwaji wa Akaunti ya Dhamana ya Bima (Trust Account).
Mafuru ametoa pongezi hizo wakati...
Baada ya Bima ya TOTO AFYA KADI kufutwa na NHIF, wewe ambaye ni mlipaji wa huduma ya Bima huu ndio mkeka wa Bima ya Afya kwa Wanandoa na Watoto au mtu mmoja mmoja kwa Mwaka mmoja
MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuutangazia Umma kuwa, unafanya maboresho ya utaratibu wa usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya “TOTO AFYA KADI”...
Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
Hili suala ni dhahiri serikali inataka kufanya biased na wananchi. Kama watumishi wa umma tu mneshindwa kutuhudumia vizuri mpaka tunapata dawa grade 3 & 4, sasa mkihudumia angalau 30% ya Watanzania hali itakuwaje?
Zamani bima ya NHIF ilikuwa kama bakshishi kwa watumishi na toto afya ilikuwa...
Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
Ikumbukwe kuwa Toto...
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote huku Serikali ikiahidi kuhakikisha mfuko huo unakwenda kutekeleza malengo yake ya kuwapatia Wananchi huduma za Afya kikamilifu kwa makundi yote.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya alisema...
Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
Kumekua na marudio na marejeo ya mtu mmoja kupata bima moja ya afya sehemu mbalimbali, Unakutana na kijana anabima ya NHIF ambayo iko chini ya familia, Kijana huyu huyu anapoingia chuo analipia bima ya NHIF, Kijana huyu huyu anapoanza kazi shirika la serikali analazimishwa kukatwa mafao ya bima...
Habari zenu bhana
Naomba niende moja kwa moja najua ntapata wajuzi wa kunishauri.
Baba yangu alikua mwalimu kabla hajastaafu. So alikua anapokea penshen ile ya kila mwezi mpaka alipofariki mwaka juzi 2021. Alifariki akiwa na miaka 74.
Ile penshen iliingia kwa miezi mitatu tuu then ikakoma. Na...
Majina ya mama yako/mama mkwe wako yako tofauti ya yaliyoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa.
Yaani kama mama wakati anakuzaa alikuwa anaitwa Anastazia Tatu Peter (jina la babake au Mme wa zamani) na sasa kwenye cheti chake cha NIDA au cha kura anaitwa Anastazia Tatu Mahendeka.
NHIF hawampi bima...
Nina ndugu alipata ajali na kupata ulemavu wa kudumu na hiyo ajali alisababishiwa kwani dereva alihama upande wake na kumfata. Sasa chombo chake hakikuwa na bima na alienda kudai fidia yake kwani hicho chombo kilisababisha ajali kilikatiwa third party na yeye alienda kudai fidia ya kwake kwa...
Naendelea kushangaa juu ya kigugumizi cha wabunge juu ya muswada huu muhimu unahusu afya za watanzania. Hili ni jipu la muda mrefu sana lenye kuhitaji tiba.
Siku za nyuma Serikali imekuwa inakwepa kuwasilisha muswada huu bungeni. Hata hivyo vision ya Rais Samia ilikuwa ni kuwasilisha muswada...
Kuna jamaa kule maeneo ya Ununio nasikia ni mgambo pale Kunduchi Pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya, na gari haikuwa na bima.
Juzi Mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa...
Moja kwa moja niende kwenye hoja kuu
Na bila kupepesa maneno nalitaja kabisa shirika husika...ZANZIBAR INSURANCE ni zaidi ya wasumbusu
Tena nadiriki kabisa kuwaita matapeli wakubwa msiojua thamani ya mteja wenu
Sasa ni nini maana au faida ya kuikatia gari bima ya Comprehensive?
Yaaan nipate...
Wakuu Kama kichwa Cha habari hapo juu.
Naomba kujuzwa, majeruwi na familia za wapendwa waliofariki zinazotokea kwenye mabasi ya mikoani au haya ya humu mijini yenye bima kubwa huwa wanafidiwa? Huwa wakipata majeraa wanatibiwa kwa gharama za Nani? Mmiliki wa chombo serikali au watajua wenyewe...
Wanafunzi wa Diploma, chuo cha Muhimbili-COHAS kilichopo Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya.
Kumekuwepo na malalamiko ya wanafunzi kulalamika kwa kile kinachoendelea katika chuo hicho ambacho kinatoa Elimu kwa ngazi ya diploma (MUCOHAS) huku walimu wakisema maelekezo...
Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 6/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni mlimalize hili, tuleteeni Serikalini tulijadili ili tuone kama linatekelezeka kwa kiwango gani.
Agizo...
Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya.
Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.