bima

  1. JanguKamaJangu

    Serikali yaipa NHIF miezi mitatu kuimarisha mfumo wa TEHAMA kuondoa usumbufu wa wagonjwa wa Bima

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John Kanyasu (Kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu) aliyeuliza kwa nini NHIF inazuia matibabu ya baadhi ya wagonjwa wenye Bima za Afya wakiwa Hospitali. “Ni kweli...
  2. kavulata

    Bunge limepitisha tozo kwa wote badala ya bima kwa wote

    Bima kwa watu wote sio mchezo mchezo kama huu. Watu wetu wanaugua sana kutokana na mbu wengi, funza wengi, ajali nyingi, takataka nyingi mitaani na majumbani, ukosefu wa chakula, ukosefu wa maji safi, matuzi ya Kuni, nyumba duni na bidhaa zisizo na ubora. Huwezi kuwekea mtu bima ambae unajua...
  3. Makonde plateu

    Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

    TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
  4. Roving Journalist

    Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  5. BARD AI

    Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  6. DR Mambo Jambo

    Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  7. N

    Bima ya Afya kwa wafanyakazi wa viwandani iwe lazima kisheria

    Habari wana JF! Ndugu zangu nimefanya kazi katika baadhi ya viwanda mkoa wa Pwani nimegundua wapo Watanzania wanafanyakazi maeneo hatarishi sana. Ndugu zangu kama mnavyojua viwandani kuna kemikali na emissions nyingi mno. Ingawa kwenye sheria zetu kuna taratibu nyingi zimewekwa kwa ajili ya...
  8. peno hasegawa

    Shule za binafsi (msingi na sekondari) kutoza wazazi/ walezi bima za afya wanafunzi kwa kila mwaka Ummy mwalimu unalifahamu hilo?

    Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
  9. JohMkimya

    Je, BIMA ilianza kwa njia ya kamari?

    Kuna maoni tofauti kuhusu asili ya bima na uhusiano wake na kamari. Wakati mifumo ya kwanza ya bima ilianza kama njia ya kulinda dhidi ya hatari na upotezaji wa mali badala ya kamari, kuna muktadha ambapo mifumo ya bima ya awali ililingana na mchezo wa kamari. Katika mifumo ya awali ya bima...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Bahati Ndingo AWAKATIA BIMA Wazee 1,000

    MBUNGE BAHATI AWAKATIA BIMA WAZEE 1000 Katika kuadhimisha siku ya wazee Duniani mwaka huu, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Kanali Denis Mwila amesema Serikali itaendelea kuthamini mchango wa wazee ikiwa ni pamoja na kutafuta utatuzi wa kero zinazowakabili ikiwemo katika sekta za afya. Mkuu wa Wilaya...
  11. tpaul

    Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho. Naomba kutangaza masilahi (declare interest) kwamba mimi ni mnufaika wa mfuko huu kupitia wazazi wangu...
  12. Dr Msaka Habari

    Pato la taifa kupitia Sekta ya Bima inatajwa kukua

    Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018. Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...
  13. ubongokid

    Kwa Hili la Bima ya Afya Kwa watoto-Hapana

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/= NHIF Yasajili Wanafunzi 342,933 Bima ya Afya Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400 Uzi huu ambao JF waliufuta amba niliandika...
  14. M

    Ushauri kwa Bima ya Afya (NHIF): Wekeni uwiano mzuri kwa wanufaika wa wachangiaji wa mfuko huo

    Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika. Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
  15. mirindimo

    Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  16. M

    Angalizo kwa bima ya afya ya Taifa! NHIF

    Hawa vijana mliowaweka kwenye hospitali mbalimbali kuhakiki kadi za bima kwa wagonjwa ni kero kubwa mno. Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwani hawana customer care nzuri na wanauliza maswali ya kijinga Sana yenye kumkerehesha mgonjwa! Mfano wa swali la Leo hii niliulizwa Kama, "hivi...
  17. K

    Bima ya Afya kwa mfanyakazi

    Habari wakuu, Napenda kufahamu kuhusu sheria ya mfanyakazi katika kampuni binafsi ndani ya Tanzania je ni haki wafanyakazi kupewa bima ya afya bila dependant wao kimfano employee amepewa bima ya afya kisha akaambiwa atapata yeye tu mke na mtoto hawatapata. Wafanyakazi wengine wameinclude...
  18. Kidaya

    SoC03 Kuboresha Mfuko wa Bima ya Afya

    Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) ulianza kufanya kazi Julai, 2001 kwa waajiriwa wa serikali kuchangia 3% ya mishahara yao na mwajiri kuchangia 3%. Mpaka kufikia Desemba 2019, mfuko wa Bima ya afya ulikuwa na wanufaika 4,856,062 sawa na 9% ya watanzania wote. Majukumu ya mfuko ni kuwaandikisha...
  19. Stephano Mgendanyi

    Makamba Ayataka Makampuni ya BIMA Nchini Kutumia Fursa Katika Sekta ya Nishati

    MAKAMBA AYATAKA MAKAMPUNI YA BIMA NCHINI KUTUMIA FURSA KATIKA SEKTA YA NISHATI Makampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati, kuzitambua na kufahamu kuwa wana nafasi ya kuzifikia na kuzipata. Wito huo umetolewa tarehe 15 Julai, 2023...
  20. Ivan Stepanov

    Bima ya afya NHIF, suala hili lina faida lakini angalieni pia changamoto zake

    Habari ya jioni wananzengo, polen kwa msongo wa mawazo wale ambao ikifika jumapili jioninkama hivi raha yote inaisha kwa kufahamu kuwa kesho asubuhi "THE CYCLE REPEATS". Twende kwenye mada na kama kutakua na makosa ya kiuandishi naomba usikwazike, nisamehe bure, jaribu tu kujiongeza. Haya sasa...
Back
Top Bottom