bima

  1. Naomba ushauri kuhusu Bima za Magari

    Habari wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu kununua bima ya gari. Nilikua nataka kukata comprehensive, ila kuna mdau akaniambia badala ya kwenda kwa ofisi za bima moja kwa moja ni bora kupitia kwa agent. Mdau akasema ukipata shida ni rahisi kulipwa km ulikata kwa agent maana process...
  2. Napendekeza stika za Wiki ya Nenda kwa Usalama zilipiwe kwenye bima, ukikata bima ukague na gari kabisa na vyote ulipie kwa mara moja

    Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
  3. Resolution Insurance Placed Under Statutory Management For 12 Months

    Underwriting firm Resolution Insurance has been placed under statutory management owing to operational and financial difficulties. The Policyholders Compensation Fund (PCF) has been appointed Resolution’s statutory manager for a period of 12 months effective Tuesday. According to the...
  4. Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  5. Isingekuwa mfuko wa bima ya afya (NHIF) ningefanya nini?

    Nawaza ningewezaje kumudu gharama za matibabu ikiwa bima ya afya isingekuwepo, mwezi Sasa tangu nimuhifadhi Mama yangu katika nyumba yake ya milele Ila kila ninapozunguka swali ninalojiuliza ningewezaje kumudu gharama ya kumtibu Kama isingekuwa NHIF. Nikifikiria gharama ambazo zimetumika wakati...
  6. Magari ya trafiki na polisi hayana bima

    Utafiti wangu rasmi. Magari karibia wote ya kutembelea hayana bima. Hii but kila ninaposimamishwa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huwa nashuka naenda kuangalia kama magari Yao yana bima. Na hiki ni kipindi kile bima zilikuwa zinabandikwa kwenye kio. Sasa hizi za kidijitali ndo kabisa. Polisi...
  7. Naomba kujuzwa kampuni bora ya Bima ya Afya

    Heshima kwenu wadau wa jukwaa. Ndugu yangu ana ugonjwa inasemekana wa neva. Ni kampun gan bora kwa bima ili kukabiliana na tiba bora nchini? Maana hii kupimwa pimwa tu bila tiba inatupiga sana pesa! Sio mtumishi.
  8. R

    Je, BRAC ni taasisi "genuine" ya utoaji mikopo?

    Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na...
  9. Napendekeza kuanzishwa kwa Bima ya mapenzi, ukiumizwa na kama kuna ushahidi unalipwa

    Hii Bima ni muhimu sana, nashangaa kwanini haipo , mambo ya ajabu kabisa!
  10. Hospitali za bima ya NSSF kwa hapa Dar

    Habari zenu ndugu zanguni watanzania, Napenda kuuliza mie nina kadi ya NSSF kwa ajili ya matibabu, wife ni mjamzito sasa je napenda kuuliza ni hospital gani nzuri kwa hapa Dar kwa ajili ya uzazi kwa kadi za NSSF.
  11. S

    Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

    Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini? Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote. By the way, kuna watu wana nyumba zao...
  12. L

    Ushauri kwa Serikali: Riba na bima ya mkopo

    Serikali tangu awamu ya tano haipajandisha mshahara wala kulipa malimbikizo kwa watumishi hata hii ya sita japo inasema wamepandisha lakini ni ongezeko kidogo sana kiasi ambacho hakileti mabadiliko yoyote kwa maisha ya mtumishi japo gharama zinabadilika kila uchao. Pamoja na hayo watumishi...
  13. Wahanga wa bima za kampuni za ajali za magari tuonane😠

    Jamani, kumetokea utitiri wa kampuni za bima za magari nyingi sana nchini kiasi kwamba na makanjanja wamepetia humo humo. Makampuni haya ni mepesi sana kupokea hela kutoka kwetu wateja...lakini mteja lilikukuta la kukukuta la ajali ya gari wanaingia mitini kwa speed ya 5G. Wakitoa vijisingizio...
  14. Nomia Rosemary Ndlovu; Askari aliyeua Ndugu Pamoja na Mpenzi wake ili Kujipatia Fedha za Bima (Insurance)

    Nchini Afrika Kusini kumekuwa na kesi iliyoteka hisia za watu huku macho na masikio ya watu wengi wakiifuatilia kesi hiyo iliyoanza kusikilizwa katikati ya mwezi Septemba. Kesi hiyo inamhusisha askari wa zamani ajulikanae kama Nomia Rosemary Ndlovu anaekabiliwa na mashitaka ya mauaji, kula...
  15. T

    Wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima?

    Habarini ndugu zangu? Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio. Msaada please.
  16. #COVID19 Bima ya Afya ina 'cover' chanjo ya COVID-19?

    Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
  17. S

    Tozo za simu zingetumika kutengeneza Mfuko wa Bima ambao ungekuwa maalumu kukabiliana na corona nchini

    Kabla hata Zungu hajapendekeza Bungeni kodi kwenye miamala ya simu, mimi nilileta wazo kupitia hapa JamiiForums nikipendekeza tozo kupitia line za simu zitumike kuunda Mfuko wa Bima ya Afya kwa kila mtanzania atakaekuwa tayari kuchangia bima hiyo kupitia line yake ya simu. Nilipendekeza namna...
  18. SoC01 Bima ya Afya bure kwa watoto Vijijini - Mapendekezo yangu

    Kwa mujibu wa sheria zetu, mtoto ni mtu yoyote mwenye umri chini ya miaka 18. Bima ya afya ni mfumo unao muwezesha mtu kupata matibabu pasipo kuwa na fedha taslimu pindi apatapo ugonjwa fulani. Mara kadhaa tumeshuhudia kwa kusikia, kuona ama kusoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari/mitandao...
  19. Ni ipi faida ya Bima ya vyombo vya moto?

    Habari wana zengo natumai wote ni wazima wa afya tele. Mm naomba kufahamishwa faida ya bima ya vyombo vya moto hasa hii bima ndogo ambayo ni lazima kila chombo cha moto uwe nacho, mm naomba kujua nn faida ya huyu mmili wa chombo kama piki piki, bajaji na gali anapata faida gani akiwa nayo?
  20. Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…