Wana bodi,baada ya kuripoti kadi ya NHIF kutopokelewa hospitali za private,hatimaye nimefanya uchunguzi wangu binafsi mbali na hospitali ya IMEC iliyopo manispaa ya Iringa,nikagundua kwamba,sio private zote hazipokei,bali ni hiyo tu moja(IMEC) ambayo hawajatoa sababu za kueleweka kwanini...