Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa
Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga
Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi
Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni
Nenda na mtr yako..na usiwambie kama una MITA yako malizeni ku bargain sh ngapi kwa futi mkifika kupima...
Jua letu linachukua miaka milioni 250 ( 200 light years )kuzunguka Njia ya Milky Way.
Kwa ujumla, Njia ya Milky Way ina upana wa takribani miaka ya mwanga 100,000 na upana wa miaka ya mwanga 1,000. Mfumo wetu wa jua upo takribani miaka ya mwanga 26,000 kutoka katikati ya galaksi hii.
Kama hilo...
Wakuu,
Nina ndugu yangu ana maabara yake ya kisasa kabisa anauza vitu vya ndani, vyote kama ilivyo, yani ni kuchukua na kuhamisha kila kitu, yeye amehamishwa kikazi.
1. Centrifuge
2. Water Bath
3. Microscope
4. HB Machine
5. BP Machine
6.Weighing Scale
7.Blood collection tubes
8.Autoclave...
Nasisitiza kwa Mara nyingine tena, sikubaliani na fundisho la kwenye Bible na Qur'aan kwamba Mungu alimuumba mwanadamu ili amuabudu.
Sababu zangu kuu ni mbili:
1. Hakuna uthibitisho wala dalili yoyote ile kwenye nature inayo suggest kwamba Mungu ametuumba ili tumuabudu.
Ingekuwa huo ndio...
Wasalaam wana JF.
Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya kwani nikutafuta sifa baina ya mtu na mtu au taifa fulani na jingine.
Nimeamua kwenda na hii...
Wakuu ntangulize shukrani kwa wajuvi wa mambo,nikili tu kwamba mimi somo la history nilikuwa mweupe.
Ila nakumbuka kama vile fuvu la binadam-nyani wa kale linapatikana Afrika mashariki. Olduvai George (mtanikosoa)
Sasa fuvu hili ni wazi ni la mwafrika au mtu mweusi,sasa swali langu ni je fuvu...
Je, Binadamu Anaweza Kuwa Mtakatifu
Utakatifu ni Nini
Utakatifu ni ile hali ya kuwa safi mbele za Mungu, kumhofu yeye na kumuogopa yeye na kujitenga mbali na dhambi. Neno “Mtakatifu” lina maana mbili katika moja; Yaani kutengwa na dhambi kabisa na pili kuwekwa wakfu/ maalum kwa ajili ya...
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Vyuo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha...
Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito
ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda
Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil.
God and devil are the same
Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki
Wanampa mtu utajiri na umasikini
Wanatoa laana .
N.k
So usipokuwa makini you will hustle in vain forever
Lazima ukae na hawa coordinator in...
Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu.
Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKEMEA VIKALI VITENDO VYA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KATA YA NGENGE, WILAYA YA MULEBA MKOA WA KAGERA
Dar es Salaam 10, Februari 2025
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimepokea taarifa za ubomoaji na uchomaji wa makazi ya watu katika Kata ya...
Hii picha ya Kalonzo Musyoka (aliyevaa suti), Naibu Rais mstaafu wa Kenya na waziri wa zamani katika wizara mbalimbali akimfariji mtoto wa rafiki yake wa muda mrefu ambaye ni baba yake aliyefariki imezua maneno sana huko Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la polisi mnamo January 02 mwaka huu, wananchi wa Kijiji cha Ng’ombo wilayani Nyasa walimuua mamba na kufanya kitoweo.
Majira ya saa kumi na moja alfajiri kwenye fukwe za Ng’ombo-ziwa Nyasa, Kijiji cha Ng’ombo kata ya Chiwinda, mwanamke mmoja aliyetambulika kwa...
Nimesikia huko wakijadili eti binadamu awaye yeyote hufa siku ile ile aliyozaliwa,
Yaani kama ulizaliwa jumamosi basi utakufa jumamosi, hata kama utakufa na miaka 89 lakini siku itakuwa ni ile ile, ila wanadai tarehe zinaweza kupishana,
Je ni kweli? Kuna ukweli hapa, kuna alie na mifano...
Binadamu kiasili ameumbwa na hofu mbili tu,yaani hofu hizi ndio asili yake
Hofu ya kwanza ni kuanguka,hii ni hofu ya asili tangu tukiwa utotoni, ndio maana mtoto ambaye anaanza kusimama mara nyingi huwa na hofu ya kuanguka
Hofu ya pili ni ya sauti, hizi hofu mbili hatukufundishwa bali tumekuwa...
Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha.
Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini.
Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.