Tofauti Kati ya Dini Na sayansi/filosofi kuhusu Sababu ya Sisi kuwepo duniani Na Nani ametuleta mahali hapa Ni Moja:
Approach ya Dini katika kuelezea Sababu yetu kuwa hapa duniani inaanzia kwenye hitimisho (Religion approach is from the conclusion) kwamba Mungu ndio ametuleta hapa duniani ili...
Mbali na Shs. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za mate ya binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki.
Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs...
Desemba 10 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu, ikiwa ni Siku ya kukumbuka kupitishwa Azimio la #HakiZaBinadamu Duniani.
Azimio hilo linaweka msisitizo kwenye Haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali Rangi, Dini, Jinsia, Lugha, Maoni ya Kisiasa, Asili ya Kitaifa...
Dunia, mataifa makubwa na mataifa madogo, ulimwengu mzima unakubali kuwa haki za binadamu ni jambo lolote ambalo binadamu anastahili kuwa nalo tangu anapozaliwa bila ya kujali jinsi ya mtu.
Kiimani na kiutamaduni pia, inatambulika kuwa haki za binadamu zitaendelea kuwepo hadi pale binadamu...
Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku.
Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu...
Robert Pershing Wadlow Kuzaliwa (Februari 22, 1918 Kufariki 15 Julai 1940), anayejulikana pia kama Jitu la Alton na Jitu la Illinois, alikuwa mwanamume wa Marekani ambaye alikuwa mtu mrefu zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza kukanushwa. Alizaliwa na kukulia...
Kutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu.
Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani
Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.
Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine
Hauna moshi...
Huwa najiuliza: kwa nini binadamu hawazii hata kidogo kufa kwake bali kwa wenzie tu: Mifano ifuatayo:-
1. Mume ana miaka 70, mke ana miaka 67. Mume anauza shamba milioni 30. Mke anakodi majambazi wanamuua mume abaki na hizo milioni 30(wastani wa maisha ya mtu ni miaka 80) Mmeoana mkiwa 17 & 20...
Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu.
Naomba jibu.
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.
EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliye gerezani ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa rais Vladmir Putin, Alexei Navalny leo ametunukiwa tuzo ya juu kabisa inayotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu haki za binadamu.
Katika ishara ya wazi ya ukosoaji kwa Ikulu ya Kremlin, viongozi wa bunge la Umoja wa...
1. Nyumba unayokaa kama unafuga Njiwa na ukiwa Unauguza Mgonjwa ndani ukiona Njiwa Wote wanaondoka anza kuweka Oda ya Jeneza kwa Mgonjwa wako kwani utake usitake atakufa tu.
2. Nyumba unayoishi kama unafuga Mbwa kuanzia Saa 5 Usiku na Saa 11 Alfajiri ukisikia wanabweka sana jua Wachawi...
RAIS wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella amesema demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki.
Huwezi ukasimama hapa...
SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA BINADAMU
NA: NESTER REUBEN
'Unazo nguvu za kujidhuru au kutojidhuru mwenyewe kama utachagua kutokuwa na furaha hakuna mtu anayeweza kukufanya ufurahi''
Angalia maisha yako. Je, kuna maeneo katika maisha yako hayakufurahishi?
Maisha yako ni wajibu wako...
Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia..
Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio...
Kila siku imayoenda kwa Mungu tunasakikia malalamiko ya wananchi juu ya askari polisi kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia. Lakini waziri mwenye dhamana yupo kimya tu hatoi tamko wala kukemea.
Mfano ni huko Handeni tumeshuhudia akina mama wakilalama hadharani kupigwa na kutomaswa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.