Na Mwandishi Wetu, Ethiopia
Mawaziri wa Ulinzi, Amani na Usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wameazimia kuanzisha jeshi la pamoja na kituo ili kupambana na changamoto ya ugaidi katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
Kauli hiyo imetolewa nchini Ethiopia na Waziri wa Ulinzi na Jeshi...
Wadau wa haki Nchini Tanzania wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu, leo Mei 13, 2022 kwenye Ukumbi wa PSSSF Jijini Dar es Salaam
Shughuli hiyo inatarajiwa pia...
Wadau wa haki Nchini Tanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu mnamo Mei 13, 2022, yakitarajiwa pia kuhudhuriwa na mabalozi kutoka nchi 15 wadau wa maendeleo
Akitoa...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA NDG. PAVU ABDALLAH - 22.04.2022
Tupo katika kipindi ambacho Bunge linaendelea kujadili bajeti za wizara mbalimbali, tarehe 21 April 2022, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwasilisha hotuba ya bajeti kwa...
Wazazi waache kuwalaumu watoto wanapofeli shule kwa kigezo Cha kuwa hutofanikiwa.
Wazazi wawekeze mda mwingi na watoto juu ya nidham ya fedha ili wao nao waweze kuwafikisha watoto wao mbali kielimu.
Shule tungeiona Kama tamaduni yenye kumuimarisha kijana kiakili na kifikra kuwa bora zaid...
Kitendo cha Mungu kumtupa Ibilisi duniani ni kitendo cha uonevu mkubwa sana kwa binadamu.
Ibilisi sio levo za binadamu ni levo ya Mungu maana yake Mungu yeye angekomaa naye Ibilisi hukohuko mbinguni mpaka kieleweke. Kutuletea Ibilisi huku duniani ni kutuonea tu maana hatuna uwezo wowote wa...
nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa.
Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita.
Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi...
Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali...
Mtoto wa kiume anakuwa na hisia kwa namna yeyote vile kama binaadamu wengine. Ni vile wewe mzazi unamsaidia mtoto wako kukua kwa namna ambayo utamsaidia na kumuongoza.
Mtoto wa kiume anastahili kuogopa na hata kulia. Mzazi acha kumkataza mtoto wako wa kiume kulia maana tuna tabia ya kuwaambia...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro.
-----------------------------------------------------------------------------------------
NGORONGORO: TAMKO...
Moja ya jambo ambalo nakaaa muda na kuwaza ni kuwa Maisha na vilivyomo ndani yake.
Niukweli usio pingika na Uko wazi kuwa haya maisha yanatuendesha yatakavyo.
Naukifuatilia kwa karibu ni kuwa anayeendesha Maisha ni Mungu au Shetani.
Mfano tu labda unataka kiwa mtakatifu uwe Mwaminifu kwa...
Habari Wanajamvi baada ya kukaa na kufikiria nilipitia nyuzi nyingi zinazo husiana na web development ila sikupata nilicho hitaji.
Kwenye huu uzi nitafundisha HTML, CSS na JAVASCRIPT kwa lugha isiyo sanifu na fupi kufanya kueleweka sana.
Pia Uzi huu utumike kama mahala pa kuuliza chochote...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la mauaji ya Juma Ramadhan (35) kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma likidhibiti vurugu, Machi 14, 2022 katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
LHRC imetoa wito hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya afisa...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa kuna watu zaidi ya milioni 45 ambao wametumbukizwa katika biashara hii inayoingiza kiasi cha dola bilioni 32 kwa mwaka, na hivyo, kuchuana kwa karibu sana na biashara haramu ya silaha na dawa za kulevya. Wanawake, na watoto wadogo ndio walengwa wakuu.
Kundi hili la...
Kila kukicha ni malalamiko ya wananchi juu ya ndugu zao kuumizwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa jeshi la polisi.
Mbaya zaidi hakuna hatua zinazochukuliwa ili kuwashitaki wanaofanya haya matendo maovu.
Rais Samia alishakiri hadharani kuwa kuna nguvu ya ziada inayotumika na inaleta madhara kwa...
Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini:
"Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi tupeni muda serikali tutaonesha kwa matendo."- Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene...
Huwa tunajidanganya sana kuwa binadamu ni kiumbe aliyestaarabika. Kwamba ni kiumbe anayesikiliza reasons. Kujidanganya kabisa. Kwenye saikolojia kuna kanuni inasema, "Mind gets what it want." Kuwa akili inapata inachotaka.
Mfano. Kwenye mechi ya Simba na Yanga. Mshabiki wa Yanga atasema ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.