binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Hizi kampuni za kukopeshana online credit companies bado hazijafungwa zote zipo zimebaki na zinasumbua binadamu

    Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
  2. Shooter Again

    Wanaoishi Vingunguti hapati kero ya harufu mbaya?

    Huwa najiuliza Kila nikipita haya maeneo kuna harufu kali sana ambayo kama humu wezangu mshapita hayo maeneo mmeshuhudia huwa nafunga mpaka vioo vya gari lakini ngoma inapita mpaka ndani ya gari. Hivi hawa wanaoishi ni binadamu wa kawaida kweli maana nashindwaga kuelewa hawa jamaa ni wa aina...
  3. Father of All

    Kwanini "Mungu" aliumba vitu vyote kwa kusema viwe na vikawa isipokuwa binadamu toka kwenye udongo kama ni kweli?

    Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema: Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo. Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa...
  4. Yoyo Zhou

    Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaorodheshwa na UN kwenye mali za urithi za kiutamaduni za binadamu

    Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) hivi karibuni liliamua kuorodhesha Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina kwenye mali za urithi za kiutamduni za bindamu. Uamuzi huo utasaidia kuhimiza ongezeko la ushawishi wa utamaduni wa jadi wa Kichina duniani. Historia...
  5. Waufukweni

    Utajiri wa Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, washtua Watetezi wa Haki za Binadamu

    Ukwasi walionao baadhi ya mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya nchini umezua jambo: Watetezi wa haki za binadamu wamehoji walikopata ukwasi huo viongozi hao wa serikali. Ni hoja iliyoibuliwa na watetezi hao jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa tafakuri ya hali ya utetezi na uenezi wa...
  6. Lady Whistledown

    Siku ya Haki za Binadamu: Je, Tanzania inaheshimu na kuzilinda?

    Siku ya Haki za Binadamu huadhimishwa kila mwaka duniani kote tarehe 10 Desemba. Siku hii inaadhimisha kumbukumbu ya moja ya ahadi muhimu zaidi duniani: Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu (UDHR) la mwaka 1948. Hati hii ya kihistoria inathibitisha haki za asili ambazo kila mtu anastahili...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nimekutana na skin walker usiku wa kuamkia leo. Alikuwa binadamu, akageuka kuwa mbwa

    Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay. Mwanga wa eneo la maegesho...
  8. JanguKamaJangu

    Meryine Warah: Viongozi wa madhehebu nchini msifumbie macho vitendo vya uvunjifu wa Haki za Binadamu

    MKURUGENZI wa Miradi ya Green Faith Duniani Meryine Warah amewashauri viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini kutofumbia macho vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyojitokeza katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kule Chongoleani mkoani Tanga. Maryine aliyesema...
  9. Pang Fung Mi

    Nafsi Jiwe Mwili Binadamu Hadaa ya Dunia kwenye Mapenzi

    Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango. Mimi sio mwenyeji wako umekuja kibiashara ondoka kibiashara, Binadamu ni mwili sio nafsi. Ondoka kama ulivyokuja sina muda. Ubwela...
  10. M

    Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

    Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
  11. Loading failed

    Hoja na maswali utata kwenye uumbwaji wa mwanadamu katika imani ya Kikristo. Je, wenzetu imani zao zinasemaje?

    Harakari za uumbaji wa mwanadamu kiimani na utata unaojitokeza yapi maswali ya kujiuliza kwa kina. Je nani mwenye majibu yake au nani anaweza kutujibia. Ndugu zangu. A) Uumbwaji wa mwanamke na mwanaume bila udogo, tena wenye usawa ndani yake Tukiangazia kitabu cha mwazo 1: 26-28 tutagundua...
  12. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi latoa Elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu kwa Watumiaji vyombo vya majini

    Ikiwa ni mwendelezo wa utoaji elimu kwa makundi mabalimbali katika jamii kikosi cha wanamaji dawati la jinsia na watoto limewafikia watumiaji wa vyombo vya majini na kuwapa elimu ya ukatili ikiwa ni pamoja elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu. Akiongea wakati wa utoaji elimu hiyo...
  13. M

    Najiuliza wakati shetani anaasi mbinguni, alishawishiwa na nani? Maana hakukuwa na shetani muda huo. Binadamu tunashawishiwa na shetani dhambini

    Hili swali huwa najiuliza sana Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu? Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?
  14. mchawi wa kusini

    Mtu akifa anaenda wapi?

    HABARI YA PASAKA JF,Je Ulishawahi Kujiuliza Unaenda Wapi Ukisha kufa? Fuatana na Mimi Asubuhi Upate Elimu. MTU AKIFA ANAENDA WAPI? Mwili hushushwa ardhini baada ya pumzi kurudi kwa muumba,yaani baada ya nafsi kufa! Kifo kinauma sana,na ukizingatia wengi hatujui nini kinafuatia baada ya...
  15. Dogoli kinyamkela

    Sehemu wanazopendelea kukaa majini na kuzaliana kwao

    Sehemu wanazopendelea Kukaa majini. Ikumbukwe kuwa majini walipopigwa na kufukuzwa,hawakuzuiwa kuendelea kuishi katika mgongo wa ardhi,Laa hasha! Bali walitawanywa na kuzuiwa kuishi katika mkusanyiko, yaani jamii ya pamoja ( mfano wa binadamu tunavyoishi) ila waliendelea kuishi katika mgongo wa...
  16. Lady Whistledown

    Siku ya Kimataifa ya Wanawake watetezi wa Haki za Binadamu

    Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake huadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Novemba. Siku hii inatambua juhudi za wanawake wote wanaofanya kazi kwa bidii kutetea haki za binadamu, pamoja na watetezi wa haki za binadamu wanaopambana na ubaguzi dhidi ya wanawake. Mwanzo wa...
  17. Loading failed

    Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

    Ndugu zangu. 1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi...
  18. MFALME WETU

    Wajasiriamali mnaojihusisha na biashara ya chakula cha binadamu na vinywaji mnazingua sana

    Ukiachana na hii video.., 1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku. 2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama chujio cha chai. Alikua ni mama ntilie pale mtaani kila asubuhi alikua anaenda kuuza uji, chai na...
  19. Red black

    Wataalamu : Cryosleep ina_faida yoyote kwa binadamu?

    Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension. A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye cryogenic sleep na kumuamsha tena. karibu kwa mjadala;
  20. Yoda

    Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Back
Top Bottom