binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Human Rights Watch: Tanzania izingatie haki za binadamu kabla ya uchaguzi

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuondoa hali ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Taarifa iliyotolewa Jumatano na shirika hilo, imeeleza kuwa tangu mwezi...
  2. Genius Man

    Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  3. Elsa Marie

    Viungo vya binadamu vinavyokatwa kwa sababu mbalimbali hupelekwa wapi?

    Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti. Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi. Ni mgonjwa anapewa kiungo chake...
  4. Brojust

    Kama binadamu ametengeneza Bomu la nyuklia kwanini asiwe ndio kiumbe hatari zaidi Duniani

    Wakuu karibuni tuchemshe bongo. Source ya picha ni BBC Watu wa imani wanasema binadamu aliumbwa na Mungu na alipewa akili ya kutawala kila kitu yaani viumbe wote. Sasa hapo juu ndio list ya wanadamu wanaouliwa na viumbe hawa tuliopewa nguvu ya kuwatawala. SWAL I: Je, Ni kiumbe gani chini ya...
  5. T

    SI KWELI Mbu akimng'ata binadamu, yeye hufa hapo hapo

    Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kuwa mbu akimng'ata binadamu basi mbu huyo anakufa hapo? imekaaje hii wakuu?
  6. Mshana Jr

    Uhayawani wa binadamu: haya mauaji ni wivu, visasi au malipizi? Je, inaweza kuwa ushirikina?

    Huyu ndiye Dada Jonais (Mzaliwa wa Mwika Kilimanjaro) aliyekutwa ameuwawa msituni huko Korogwe, na pembeni ni mtoto wake ambaye pia alichomwa moto kwenye tukio hilo hilo. Kwenye kadhia hiyo pia binti wake wa kazi nae aliuwawa, naarifiwa anazikwa Tanga leo pia. Huku Kilimanjaro pia walikuwa na...
  7. Roving Journalist

    Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania: Haki za Binadamu zinapozingatiwa amani inaendelea kustawi katika Jamii zetu

    Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini. Akizungumza Septemba 24, 2024 ikiwa kuelekea mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 - 29...
  8. BLACK MOVEMENT

    MiningWatch ya Canada wanasema kulikuwa na ukiukwaji wa sheria Mgodini North Mara, Tume ya haki za Binadamu Tanzania wanakana

    Mining Watch Canada ni NGO inayo fuatilia maswala ya madini hasa ukiukwaji wa haki za bibadamu, rushwa na maswala mwengine. Hii NGO iko Canda na BARICK ni kampuni ya Canada. Sasa Mining Watch ya Canada inakili kwenye utafiti wao walio ufanya North Mara kwamba Barick ambayo ni ya Canada...
  9. Kaunara

    Kuhifadhi sumu ndani ni hatari sana

    Habari wadau! Naandika habari hii kwa kuona kwamba kuna Sumu hatari sana kwenye maisha au jamii ya sasa zikiuzwa peupe bila mkono wa serikali kuingilia kati. Watu wengi wamekuwa wakijtoa uhai kwa sumu mbalimbali mitaani kwetu na wengine wamekuwa wakinunua hizi sumu na kuweka ndani kwa kujua au...
  10. Brojust

    Madactari, wanasaikolojia, wachungaji na watu waliosoma masomo ya theology na tabia za ubongo wa Binadamu.

    Salaam wakuu. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Tunaomba ufafanuzi kidogo tu juu ya hali ya Hallucination na mambo ya Imani zetu zote, Je Hallucination ni tendo la kiimani au ni tendo la kitabibu. Ahsante: NB: Hii mada kama huelewi please wewe soma tu comment upate kujifunza kama mimi, Usije...
  11. Dalton elijah

    Biashara ya binadamu yaendelea kuumiza Zanzibar

    Zanzibar Imekuwa Ikitumika Kama Njia Ya Biashara Hii kwa Kutumia Kipengele Cha Ajira Nje. Ya Nchi Ambapo Baadhi ya Watu husafiri Kwenda Nchi Kwa Ajira Ya Kutafuta Ajira. Na Husafiri Bila Kuwa Na Mkataba Wa Ajira Ambao Umethibitishwa Na Ofisi na Ofisi za Kibalozi za Nje ya Nchi ya Yetu. Mwaka...
  12. albo_stunz

    Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyika upasuaji anatakiwa asipake rangi kucha wala kuzi polish?

    Habari wana jf…Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyiwa upasuaji haruhusiwi kucha zake kuzipaka rangi wala kuzifanyia polish?
  13. Mshana Jr

    Zimwi likujualo halikuli likakwisha: Asili ya binadamu ni kuzika

    Mojawapo ya methali za Kiswaheli ni hii hapa zimwi likujualo halikuli likakwisha.. Ni methali inayopingana kwa namna fulani na ile isemayo kumkoma nyani giladi hii si ya Kiswahili ni ya kabila la Wandengereko watu wa asili ya Pwani yenye maana ya kwamba ukimuua nyani usimuangalie usoni (maana...
  14. K

    Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu

    Mwanzo 9:6 BHND Share Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
  15. Chachasteven

    Majukumu matatu ya binadamu duniani

    Kwa game lovers naamini mmewahi kukutana na huu msemo kwenye gemu fulanifulani, "Surviving is winning, Franklin. Everything else is bullshit." Yes! Kwenye quote hio nitaongeza vitu viwili na kwakweli ukitoa orodha ya hivi vitu vitatu nitakavyovitaja hapa, vingine havina maana kabisa na...
  16. Inside10

    Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

    Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana. Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja. Kuitazama Full Interview Ingia Youtube Kwenye Channel Ya Manara Tv...
  17. J

    Sheikh Sharifu niliwafungisha ndoa jini na binadamu na wanaishi pamoja

    Katika mahojiano maalumu na Manara TV Sultan Sheikh Sharifu alifunguka kuhusu matukio ya kushangaza Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.
  18. J

    Hakuna dhambi kubwa na isiyo sameheka kama zambi ya kumwaga damu ya binadamu

    Habari ndungu zangu wana JamiiForums. Ni matumaini yangu kuwa wana JamiiForums na watanzania wote popote mlipo mtakuwa mnaomboleza kifo cha ndugu yetu Ally kibao, Taifa letu limefika mahali pabaya sana na halikufika hapa kwa bahati mbaya au kwa mda mfupi. Taifa letu limefika hapa sio kwa...
  19. Kaunara

    Mtihani hatari katika maisha ya binadamu

    Moja ya mtihani hatari katika maisha ya binadamu ni kufaulu KUOA / KUOLEWA na mtu sahihi. Ukifeli hapa hutaichukia hata elimu yako hata kama ni PHD. Unaweza chukia hata kwanini hupo duniani. Wengi wamejaribu kufanya masahihisho ya mtihani huu ila wanahangukia pua. Bado amani ya moyo inakuwa...
  20. Pdidy

    Mchungaji Msigwa: Hakuna binadamu asiyebadilika

    Duuuh siasa mchezo wa ajabu sana Namsikiliza mh msigwa hapa star TV Anaulizwa ulisema uwezi hama chadema imekuwaje Chadema sio dini Anakwambia hakuna bonadamu asiebadilkaaaa Hata Paulo alikuwa anaua watu wanaomshabikia Yesu lakini alipojielewa akaanza kutangaza neno la Mungu na kumsifu...
Back
Top Bottom