Desemba 10 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu, ikiwa ni Siku ya kukumbuka kupitishwa Azimio la #HakiZaBinadamu Duniani.
Azimio hilo linaweka msisitizo kwenye Haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali Rangi, Dini, Jinsia, Lugha, Maoni ya Kisiasa, Asili ya Kitaifa...