Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,763.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya, pamoja na kilogramu 6,007 na lita 153 za kemikali bashirifu katika operesheni zilizofanyika katika maeneo...
Pongezi kwa Kamishna kwa kudhamiria kutokomeza madawa ya kulevya nchini.
Sisi wananchi tuko nyuma yako kwenye mapambano haya. Kazi yetu sisi wananchi tutaendelea kuwafichua wauzaji wa madawa ya kulevya.
Maeneo korofi ni:
1. Sinza, Temeke, Mbagala, Ubungo, Bunju, n.k.
Tuendelee kuwafichua wauza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.