Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka.
Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa.
Aina ya Mauaji ni ileile
Kukatwa Shingo
Kutobolewa Macho.
Ikimaanisha kua, Wauaji ni wale wale katika Matukio tofautitifauti.
Ajabu ni kua, KATAMBI YUKO OFISINI ...