Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025.
Hatua hiyo imekuja baada ya...
Habari,
Natumani tunaendelea vizuri katika ujenzi wa Taifa letu, pia ningependa kuwapa pole wale wote waliofikwa na maafa na watanzania wenzangu kwa ujumla kwa tukio la kuporomoka kwa jengo maeneo ya kariakoo.
Moja kwa moja niende kwenye lengo la kuandika uzi huu;
Kumekuwa na tabia ya baadhi...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA taifa John Pambalu akiwa mkoani mwanza wakati wa kufanya kampeni kuwanadi wagombea wa chama chake kuelekea uchaguzi serikali za mitaa amesema vijana wamesoma mpaka vyuo vikuu lakini hawana ajira, ajira za zo ni mbili akiwataja bodaboda na wanaofanya michezo...
HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa...
Kaka habari za leo? Huyu ndugu yetu anaitwa Issa Issa, ni bodaboda hapa Kariakoo opposite na Msimbazi police. Siku ya jumamosi aliacha pilipiki yake kijiweni akaaga kuwa anaenda kuchukua nguo kwenye maduka yaliyopo kwenye jengo lililodondoka. Hata hivyo hakurudi.
Tumemtafuta kupitia simu zake...
Wadau najua wengi tunatumia sana Bodaboda,swali je unafahamuje kuwa boda boda niliyemchukua ni mharifu?
Basi ungana na mimi kujua ni jinsi gani walivyo na endapo ukiona yupo hivi jua huyo ni muharifu usipande bodaboda wake.
Kwanza chombo chake lazima kiwe kikukuu!
Bodaboda yake lazima iwe ni...
Bodaboda ni jeneza linalotembea barabarani.
Japo wanasiasa wanawapa majina ya kuwamotisha -MAAFISA USAFIRISHAJI- Muda wowote watu wanaweka turubai tayari kwa mazishi.
#Tuchukue tahadhari#
#Linda uhai#
Sasahivi ukifika Kariakoo ni vurugu sana za pikipiki na Bajaji. Yaani ni mafuriko.
Nadhani hizi Bodaboda na Bajaji zisingeruhusiwa kuingia Posta na Kariakoo. Mbona vile vidaladalq vidogo/Hiace iliwezekana kuvizuia kuingia Mjini?
Au ni issue za kisiasa za kuogopa kukosa kura.
Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na makutano ya Shoppers mkoani Dodoma, baada ya ajali wananchi nao walimshikisha adabu kidogo kwa kumpa...
Ndipo tulipofikia kama nchi watu wengi hasa dar ma barmaid fuatilia sana wengi wamesoma kama sio diploma basi wana degree.wengi sana kikubwa tu maisha yaendelee inawabidi wafanye hivyo.imagine mtu kamaliza degree ya education 2016 mpaka leo hana ajira je huu ni uungwana?
"Kwa Mujibu wa utafiti huu wa mwaka 2022-2023 ambao umefanywa na na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) na TACAIDS kwa Kushirikiana na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kuhusu Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Tanzania umebaini makundi mengine maalum ambayo ni hatari kwa maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ni...
Kijana mmoja ameporwa simu barabrani tena kwenye service road wakati anaongea,
bodaboda kaipitia kama kipanga,
wakati jamaa anapiga kelele huku anafukuzia akakutana na kijiwe cha bodaboda mbele yake akawaambia naomba mmoja tumfatilie yule mwizi nitalipa hela yeyote, kwa mshangao wote pale...
Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka.
Ni hayo tu
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama ametembelea wamama wafanyabiashara ya chakula “mama ntilie” pamoja na vijana wa boda boda katika soko la Msufini Singida Mjini.
Shamira ameongozana na Mbaraza wa UVCCM Mkoa wa Singida Ndg. Amisa Msele, kamati ya...
Rasmi sasa kuna jamaa kanidodosa kua biashara ya boda inalipa kwahiyo nimeona nicheki upepo wa pikipiki boda.
Mwenye connection ya boda nzuri kwa hiyo bei gani USINIAAMBIE NIJE PM SIJI Asanteni.
📖Mhadhara wa 19:
Pole na hongera kwa kazi dereva wa Bodaboda. Kuzunguka salama na chombo cha moto kila siku ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Naomba leo nikuume sikio mambo ambayo yanapendwa na wateja (abiria) ambapo wewe bodaboda unapaswa kuyafahamu na kuyazingatia. Ili wewe bodaboda...
Wakuu,,.hawa ndugu zetu ambao wanaendesha bodaboda hali ya kuwa umri wao kidogo umesogea huwa wanakuwaga na ka ukoloni flani hivi.
Leo nikiwa nimetokea kigamboni,niliposhuka na pantoni pale ferry nilipointiwa na abiria alie kuwa akielekea jengo la RITA Tower..,,niliposimama ili niweze kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.