bodi ya ligi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mmiliki wa Gwambina: Bodi ya Ligi walikuwa wanataka pesa kwa nguvu, usipotoa lazima ushuke daraja

    "Ligi ilikuwa ngumu kwa sababu ilipaswa tushuke na ikiwezekana tupotee kabisa Duniani, Viongozi wa Bodi ya Ligi walikuwa wanahitaji sana hela hata tulivyokuwa ligi kuu nasikitika kuongea haya lakini hakuna namna , huku chini kuna uozo kuna watu pale Bodi ya ligi wameukamata huu mpira kama mali...
  2. JanguKamaJangu

    Bodi ya Ligi yatoa adhabu kwa Yanga, Polisi Tanzania, imani za kishirikina zatawala

  3. M

    Ushauri wa bure kwa TFF na Bodi ya Ligi kuhusu utoaji we Tuzo kwa Msimu ujao 2022 / 2023

    Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi. Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...
  4. GENTAMYCINE

    Bodi ya Ligi Hasira zenu za Mayele kukosa Ufungaji Bora msizihamishie katika Tuzo

    Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi Kuu ya NBC ) na hilo Bichwa lako Kubwa kama Papai za Mgeta Mkoani Morogoro huo Uyanga wako na hizo Pesa za Kuhongwa na GSM zitakutokea Puani Siku Moja. Bodi ya Ligi ( TPLB ) chini ya Mwenyekiti wake Almasi Kassongo hivi mliwaza nini mpaka mkasena kuwa Tuzo...
  5. John Haramba

    Yanga waligomea mechi, TFF & Bodi ya Ligi wakawachekea, Makata amekuwa mbuzi wa kafara

    Popote pale unapoenda lazima kuwe na wakubwa au watu wenye hadhi fulani zaidi ya wengine, ni kweli pia hata ‘treatment’ yao huwa inakuwa nzuri tofauti na wengine, japokuwa haitakiwi kuzidi na kuwafanya wale wa chini wajione kama wao ni takataka. Ndiyo maana ‘treatment’ ya viongozi wa Serikali...
  6. BigTall

    Bodi ya Ligi ifanyie kazi ishu ya wachezaji kuunguzwa na nyasi mechi za saa 8 mchana, Simba na Yanga wasiwe watoto special

    Kuna kitu kimoja ambacho kimekuwa kikilalamikiwa chinichini mara nyingi kwenye ulimwengu wa soka. Ishu ya baadhi ya timu kucheza saa nane mchana wakati wa jua kali imekuwa ni kama kilio cha baadhi ya timu ambazo zinaonekana hazina nguvu kubwa. Simba na Yanga wao ni wakubwa, TFF na Bodi ya Ligi...
  7. JanguKamaJangu

    Hili la Mugalu kutolipwa fedha zake za tuzo lina ukweli gani wadau? Bodi ya Ligi ina cha kujibu

    Asubuhi ya leo nimeamka na taarifa niliyoikuta mitandaoni kuwa Bodi ya Ligi inayosimamia Ligi Kuu kwamba haijamlipa mshambuliaji wa Simba, Chriss Mugalu fedha zake za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu. Nimejaribu kupekenyua sijajua hasa ni ipi inayozungumzia lakini niliyoiona labda ni...
  8. Tate Mkuu

    TFF na Bodi ya Ligi sitisheni kwa muda matumizi ya uwanja wa Sokoine Mbeya

    Nimetoka kuangalia mechi ya mtoano, Kombe la Shirikisho la Azam muda si mrefu kati ya Tanzania Prisons vs Polisi Tanzania, na ambako Polisi Tanzania wamefanikiwa kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya Tanzania Prisons. Kiukweli uwanja umeharibika vibaya kiasi cha kudhani labda...
  9. John Haramba

    Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika

    Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika
  10. John Haramba

    Tuhuma za Yanga, Simba kununua ubingwa, TFF, Bodi ya Ligi, mnaziba masikio

    Ukifuatilia mitandaoni kwa sasa watu wa soka kuna kelele fulani hivi zimekuwa zikiendelea kwa kasi, ilianza kimya kimya, lakini taratibu zinaenda zinashika kasi. Timu fulani kubebwa au timu hii inatengenezewa mazingira ya ubingwa ni maneno ambayo yanasikika sana mtaani na mitandaoni. Awali...
  11. C

    Kama ni kweli Bodi ya Ligi wamemzuia CEO wa Simba kuingia kwenye derby basi huu ni uhuni mkubwa

    Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba. Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo. Ila nimejifunza na...
  12. kavulata

    Bodi ya Ligi kufungia makocha kunainua soka letu?

    Kocha ni kama mzazi na mlezi wa wachezaji wake, wachezaji wanamtegemea kocha na nahodha wao wanapokuwa viwanjani. Haiwezekani makocha wakae kimyaa kabisa kwa waamuzi wasiofanya haki kwa wachezaji na timu yake. Binadamu hayuko hivyo, kuna wakati anaweza kusema kitu bila kukusudia kutokana na...
  13. M

    Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

    GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja. GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo...
  14. kavulata

    Bodi ya ligi msipuuzie hali kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji

    Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko radhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
  15. C

    Kwa mujibu wa bodi ya ligi leo washabiki waliojaa uwanjani ni wa KMC

    Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa KMC, mkae mkijua hilo.
  16. Lupweko

    Yanga yasema Bodi ya Ligi ya Tanzania Bara ndio inahusika na suala la ulinzi mechi za CAF CL

    Anaandika Wakili Simon Patrick , Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Yanga - Wakati unatafakari kuilaumu Klabu ya Yanga kuhusu faini ya CAF ni vyema ukafahamu yafuatayo; - Nani anahusika na ulinzi wa uwanja? Nani anahusika na COVID tests? - Nani anahusika na kuruhusu mashabiki uwanjani? Nani...
  17. kavulata

    Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

    Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake. Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za...
  18. M

    Watu wa Simba SC na nyie mmekuwa kama Washamba wa Yanga SC kulalamikia Takwimu za Bodi ya Ligi?

    Hivi Yanga SC ikiongoza kwa Takwimu, Kujaza Watu au Kuuza Mijezi Misukule na Mikaragosi yao huku wakiwa hawachukui Vikombe na tunawafunga katika Mashindano muhimu nani mnadhani Kimantiki ndiyo anaonyesha kuwa na Tija hasa? Yaani wana Simba SC leo hii mmesahau kuwa Yanga SC ni Washamba? Hivi...
  19. Gordian Anduru

    LIVE: BODI YA LIGI inatangaza ratiba, Simba na Yanga December 11

    hapa ni ukumbi wa TFF
  20. M

    Barua ya TFF kwa Bodi ya Ligi ni ya kutuandaa Kisaikolojia Wadau wa Soka nchini kwa Taarifa yao inayokuja siku si nyingi

    Baada ya TFF kuona Mechi za Nusu Fainali ya ASFC zinahusisha Timu Kubwa na zenye Ushawishi nchini Simba, Yanga, Azam na hata Biashara United FC tayari Krav Maga nimeshtukia Jambo. Barua kutoka TFF kwenda kwa Bodi ya Ligi ( TPLB ) jana kuwa ihakiki Viwanja vya Ali Hassan Mwinyi ( Tabora )...
Back
Top Bottom