bodi ya ligi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Mechi ya Yanga na Simba iwe game ya 30 kwao kuondoa mzizi wa fitina

    Sasa Baada ya Kuona Mikiki mikiki ya kukimbiana na kuogopana baina ya simba na yanga, ikichagizwa na mambo ya kishirikina na msururu wa majeruhi kwa timu ya Simba, hivyo kulingana na siasa za mpira wa tanzania na Ukubwa wa Simba na Yanga , ambazo kiuhalisia zina nguvu kuliko hata TFF na Bodi...
  2. Southern Highland

    Nawaza tu, kama mwenye haki ya matangazo angekua DSTV!

    Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender. Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.
  3. MwananchiOG

    Bodi ya Ligi imetumia kanuni gani kuahirisha mchezo wa derby?

    Kwa mujibu wa kanuni zinazoendesha bodi ya Ligi, hizi ndizo sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo wa Ligi kuu kuahirishwa. KANUNI YA 9 KUAHIRISHA MCHEZO Mchezo unaweza kuahirishwa kutokana na sababu yoyote kati ya zifuatazo:- (a) Endapo timu ina wachezaji watano au zaidi katika timu ya...
  4. D

    Hii kanuni ya adhabu, ndio imeiweka Bodi ya ligi njia panda

    Hapa Simba angekwanguliwa points 15. Sasa given Simba na Yanga ndio biashara ya Football Nchi hii, ukiachia Vigogo Wazito Wana maslahi Yao katika timu hizi, unadhani kweli Bodi na TFF zitadhubutu hili litokee?
  5. Southern Highland

    TFF na Bodi ya Ligi Kuu NBC hii aibu yenu mtaificha wapi?

    Nakemea kwa kile kilichotokea na hata Simba wana haki ya kusikilizwa hoja zao. Lakini swala la kuahirisha hii mechi ni jambo ambalo limeonesha udhaifu wa kitaasisi zinazosimamia ligi ya NBC PL. Kuna haki ya mdhamini, mashabiki na hata anayerusha matangazo mlizingatia hilo kabla ya kufikia...
  6. Roboti Wa Nape

    Bodi ya ligi mmetubeba Simba

    Na declare interest. Mi Mwana msimbazi damu. Tuendeleee Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo...
  7. M

    Bodi ya ligi mmeingia kwenye mtego mbaya sana,,kitendo cha kuahirisha mechi bila sababu za msingi na kikanuni kitawagharimu!

    Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara! Kanuni ziko wazi kwa timu inayogomea mechi na kanuni ziko wazi kwa timu iliyozuiliwa kufanya mazoezi aikuwepo haja yoyote ya kutumia ata...
  8. M

    Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

    Kwa hasira kali! Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba. Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
  9. OMOYOGWANE

    Simba SC ni kubwa kuliko Bodi ya ligi kuu na TFF

    Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
  10. Waufukweni

    Bodi ya Ligi yaitisha kikao cha dharura kujadili malalamiko ya Simba SC na kususia mechi ya dabi

    Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC. Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) Mzee Steven Mguto ambaye amefunguka kwamba kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi...
  11. Gudasta

    TFF toeni tamko kuhusu mechi ya Yanga vs Simba watu waendelee na mishe nyingine

    Toeni tamko mapema, ili watu wajue Nini kinaendelea, watu wana ratiba zao za mambo yao ...kama mechi hamna utaarifuni umma mapema.
  12. Mbabani

    TFF & Bodi ya ligi watakuwa dhaifu mbele ya Simba na Yanga hadi lini?

    Salam wapenda "kandanda". Kwa muda mrefu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limekuwa dhaifu inapotokea inshu ya SIMBA & YANGA. TFF na bodi ya ligi (bodi dhaifu kabisa) wanakua tayari kuvunja kanuni na sheria walizotunga wenyewe ili kuwanufaisha SIMBA & YANGA . Hii derby ya 08/03/2025 Simba...
  13. kavulata

    Derby ya Kariakoo TFF na Bodi ya ligi lindeni mali za uwanja kwa mchezo safi.

    Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini mpira kwasababu ya Simba na Yanga. Hivyo, nisingeona ajabu kama mechi zoooote zinazozihusisha Simba...
  14. kavulata

    TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

    Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus. Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na...
  15. M

    Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  16. MwananchiOG

    JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

    Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
  17. Waufukweni

    Mechi ya Simba SC na Singida Big Stars yapangiwa tarehe, huku na Tabora United kupangiwa siku

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi. Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao awali haukuwa na tarehe maalum, sasa umepangwa kuchezwa tarehe 28 Desemba 2024 kwenye Uwanja wa Liti...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Bodi ya Ligi: Yanga wametangaza uwanja wa KMC kabla ya approval, wanaweza kukataliwa

    https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki. Amesema...
  19. Waufukweni

    Mechi ya Simba SC dhidi ya JKT Tanzania yaahirisha

    Bodi ya Ligi imeahirisha mechi kati ya Simba SC na JKT Tanzania kufuatia ajali iliyolikumba kikosi cha JKT Tanzania. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 1:00 asubuhi baada ya basi lililowabeba wachezaji na wafanyakazi wa JKT Tanzania kuacha njia na kuanguka mtaroni, na kusababisha majeraha...
  20. L

    Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

    Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
Back
Top Bottom