Unahisi Mwamba kazingua wapi Kabla sisi (Viongozi Wa Simba SC) hatujamchukulia hatuka Kali ya kumshitaki TFF na Bodi ya Ligi ?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
Mashabiki wenzangu semeni mapema ili tupeleke report kwa baba (TFF na Bodi ya Ligi)

Hii siyo Bure kabisa binafsi naona kama tumehujumiwa kabisa

Nawasilisha hoja
1748705031850.jpg
 
Refa wetu mpendwa Hersi naona wamemfungia kwa kiojndi ambacho ligi hakuna, ligi ikianza kifungo kimekwisha anaendelea kuiasidia timu yetu pendwa ya Simba kushinda kila mechi atakayokuwa anachezesha.

Huyo Hersi mashabiki wanatakuwa wamvunje miguu aje kuchezesha akiwa anatembea na magongo!
 
Walikua wanataka sana Huyo Lakini kimewalamba
 
Back
Top Bottom